Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

data
Unahitaji kukaa chini na kuisoma huu mfumo vyema kabla ya kuukosoa! Pia una hitaji kuujua mfumo wa marks....kumbuka zamani hakukuwa na B+ wala E kwenye matokeo ya form four! Kwa hiyo kuupitia juu juu na kusema ni mbovu ni kukosa adabu ..!

Umehitaji matokeo sasa nakupa haya hapa chini ya moja ya shule na sidhani kama haya unaweza kuyatumia kuukosoa mfumo wakati hujui marks husika zinapatikanaje!
Ok haya hapa
........
View attachment 226862

My ARGUEMENT IS BASED ON QUALITY.

DO U READ ME..!! SIR..
 
Last edited by a moderator:
[table="width: 70%"]
[tr]
[td="width: 6%"]p0449/0101
[/td]
[td="width: 4%"]m
[/td]
[td="width: 6%"]-
[/td]
[td="width: 4%"]pass
[/td]
[td="width: 58%"]civ - 'd' hist - 'c' geo - 'd' kisw - 'd' engl - 'd' lit eng - 'f'
[/td]
[/tr]
[/table]

nashukuru veta inanihusu
 
kama unataka kuona elimu imeshuka tumia zile grade zamani,Tanzania kichwa cha mwenda wazimu
 
Mkubwa KINACHOENDELEA KIKO WAZI KABISA.

CCM HAIKUWA TAYARI KUENDELEA NA MFUMO UNAOELEWEKA NA WATANZANIA WENGI.

HIVYO WAMEKUJA NA HZI COSMETICS AMBAZO HAZIELEWEK.

SHULE ZA KATA ZINAZALISHA WATOTO WASIOJIWEZA, HVYO NI BORA KUMPA MTU PASS KULIKO DIV. FOUR..

NI UJINGA MTUPU.
i hata


hiyo ni kweli, hivi hata nchi za wenzetu wanafanya hivi kwenye matokeo ya O level
 
nadhani itakua hivi

distinction=div one
merit=div two
credit=div three
pass=div four
fail=div zero

Hakuna kitu kama hicho,yaani mpaka division three ya zamani inaingia kweye MERITS,kwa matokeo ya sasa ukilinganisha na ya zamani
 
Hivi Tanga INA tatizo gani? kwamba kati ya shule 10 za mwisho tano zote zinapatukana kwa wagosi
 
Distiction inaanzia point ngap had ngap!?

Tusaidieni tujue ili tulinganishe na sisi wa zamami.

Unaweza kuta mtu ana DIST. Kumbe enzi zile ni div 3.
kweli kabisa mimi kuna mtu ana merits ya 2.7,ukiipeleka kwa grade za zamani inakuwa three ya 23,Tanzania kichwa cha mwendawazimu
 
[table="width: 70%"]
[tr]
[td="width: 6%"]s0259/0018
[/td]
[td="width: 4%"]f
[/td]
[td="width: 6%"]2.4
[/td]
[td="width: 4%"]credit
[/td]
[td="width: 58%"]civ - 'd' hist - 'b' geo - 'd' kisw - 'c' engl - 'b+' lit eng - 'c' phy - 'c' chem - 'd' bio - 'b' b/math - 'd'
[/td]
[/tr]
[/table][/ Asante sana!!
 
Kuna mkoa umekuwa wamwisho maana umetoa shule zaidi ya mbili kwenye kumi za mwisho sijui walikuwa wanafundisha au walikuwa wanafuatilia mahakama ya.....
 
wa kwanza mpaka wa tisa wote wakristu?...kuna kitu hapo.
 
Back
Top Bottom