casbias
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 199
- 25
Mkuu bora wewe umeamua kuwasaidia wananchi bure. Big up.
bofya hapa NECTA/Views News
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bora wewe umeamua kuwasaidia wananchi bure. Big up.
Yaap bure kabisaaa ndani ya mda mfupi hata dakika haishi unakuwa umepata
bofya hapa NECTA/Views News
Wewe ni mzembe, na hata huko UDSM hukujui kukoje.Sijawahi ona graduate anauliza GPA zikoje.Ulienda Chuoni kufanya nini?kushangaa majengo?
Hauhoji kilofalofa, unahoji kipuuzi-puuzi.
Umesha-ambiwa lengo ni ku-harmonize mfumo wa elimu kati ya basic education na tertiary education, kama huelewi kuwa grading conversion ni kitu cha kawaida sana duniani, wewe hustahili hata kupewa majibu, kwani ni waste of answers.
Distiction inaanzia point ngap had ngap!?
Tusaidieni tujue ili tulinganishe na sisi wa zamami.
Unaweza kuta mtu ana DIST. Kumbe enzi zile ni div 3.
Yani hii mada ni barometer nzuri sana ya vichwa panzi na walio vizuri kichwani.
Mtu anashinda ku-comprehend simplest of arithmetic ataweza vipi kujua changamoto za elimu? Hawa ndio watu walienda shule kupasi mitihani, sasa wameshamaliza kupasi mitihani, kichwani kweupe kama debe tupu.
matokeo yako wazi mtu unachangasha watu kweli si fair kabisa
Bofya hapa
http://www.necta.go.tz/view_news?id=66
http://41.188.155.122/csee/matokeo/csee/2014/olevel2014.htm
KAMA NI QT FUATILIA KUTOKEA HAPA
http://41.188.155.122/csee/matokeo/csee/2014/qt2014.html
ku- harmonize.! Ili iwe nini.
Ndo mtaongeza ubora wa elimu ya sekondari.
Hayo majina ni COSMETICS tu, uozo wa elimu hauboreki kwa kuipamba hyo ,. Aahh, unanichosha tu.
UCKUTE NYIE NDO WASHAURI WA NECTA.., KAMA TULIVYO NA WASHAURI WABOVU IKULU.
Bora useme ueleweshwe!
Mfumo ulio tumika kukokotoa matokeo unaitwa GPA(grade point avarage)
GPA = Jumla ya marks za masomo
-----------------------------------------------
Idadi ya masomo

NAOMBA UTELEWESHE SISI AMBAO HATUJAFIKA UDSM tafadhali sana mkuu.
Inakuchosha kwa kuwa IQ yako ndogo.
Usichekeshe watu kwa kusema kuwa GPA grading method ni kupamba elimu, yani wewe sio tu mj*nga, ila ni mshamba na mtu usiyependa kujifunza.
Unatupa lawama kwa kitu usichokijua ili iweje?
Great thinkers see opportunities in challenge unlike other who see challenges in opportunities Maswayetu