Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Naona website ya NECTA ipo down. Hii shule ya kaizirege wako serious. Ukicheki tovuti yao HOME utaona namna wanavyotoa wanafunzi walio makini.
Nakumbuka katika matokeo yao ya fm2 mwaka 2012 hawa watoto walikuwa ndani ya top3 na aliyeongoza kitaifa alitokea hapo,kusema kweli nilibet wangefanya vizuri pia necta4 na sasa wameweza,wameonesha inspiration kubwa