Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

Ndo maana nasema haka kanchi kamekaa kiupigaji vidili njaa. Kweli kitu cha bure kinachokutaka kuingia tu mtandaoni eti tayari kajitokeza mjanja anahitaji elfu 1 kwa kila kichwa kweli! Tubadilike.

kuajiriwa ndo mipaka yako ya akili mpaka ufukuzwe kazi ndo ujue uwezo wako wakutafuta na kuwa mbunifu
 
Unanichosha! Huna jipya na maswali yangu huwezi yajibu.

Sasa mtu kama wewe ukipata "pass" utamlaumu mwalimu?

walimu wanahitaji support ya kutosha, kwa kuwa kwenye population yoyote watu kama nyie msioelewa, na msiotaka kujifunza ni wengi kuliko wale wenye kuelewa upesi.

Ukikutana na mwalimu asiye na muda wa kurudia kitu mara kumi kumi, ndio yale y akufika standard 7 hata kusoma hujui.
 
Wewe nawe hujanielewa, MIMI BADO SIJAONA HAYO MATOKEO.

ILA KAMA WEWE UMEYAONA , NIPE GRADE ZA MTU MWENYE FIRST DISTINCTION,, YAANI A NGAP B NA NYONGEZA YENU B PLUS NGAP. THEN MIMI NTAKOKOTOA KWA MFUMO WANGU WA ZAMANI.
data
Unahitaji kukaa chini na kuisoma huu mfumo vyema kabla ya kuukosoa! Pia una hitaji kuujua mfumo wa marks....kumbuka zamani hakukuwa na B+ wala E kwenye matokeo ya form four! Kwa hiyo kuupitia juu juu na kusema ni mbovu ni kukosa adabu ..!

Umehitaji matokeo sasa nakupa haya hapa chini ya moja ya shule na sidhani kama haya unaweza kuyatumia kuukosoa mfumo wakati hujui marks husika zinapatikanaje!
Ok haya hapa
........
1423920032963.jpg
 
Last edited by a moderator:
sasa mtu kama wewe ukipata "pass" utamlaumu mwalimu?

Walimu wanahitaji support ya kutosha, kwa kuwa kwenye population yoyote watu kama nyie msioelewa, na msiotaka kujifunza ni wengi kuliko wale wenye kuelewa upesi.

Ukikutana na mwalimu asiye na muda wa kurudia kitu mara kumi kumi, ndio yale y akufika standard 7 hata kusoma hujui.

wanasiasa mna maneno mengi, mi si mwanasiasa.

Ukinifuatili vyema ktk uzi huu. Kuna maswali nimeuliza. Waite jopo lako mtusaidie kuelewa.
 
Shule bora 10, na shule 'bomu' 10 Form 4 yaliyotoka leo hii.

Shule 10 bora Kitaifa:

1. Kaizirege - Kagera
2. Mwanza Alliance - Mwanza
3. Marian boys - Pwani
4. St. Francis - Mbeya
5. Abbel - Mtwara
6. Feza Girls
7. Canossa - Dar es salaam
8. Bethel Sabs Girls - Iringa
9. Marian Girls - Pwani
10. Fedha Boys

Shule 10 za Mwisho:

1. Manolo - Tanga
2. Chokocho - Pemba
3. Kwaluguru - Tanga
4. Relini - Tanga
5. Mashindei - Dar es Salaam
6. Njelekela Islamic Seminary - Kigoma
7. Vudee - Kilimanjaro
8. Mnazi - Tanga
9. Ruhembe - Morogoro
10. Magoma - Tanga

NB: Naomba tuangalie jinsi za kuzikwamua hizi za mwisho.
 
wanasiasa mna maneno mengi, mi si mwanasiasa.

Ukinifuatili vyema ktk uzi huu. Kuna maswali nimeuliza. Waite jopo lako mtusaidie kuelewa.

Mwerevu hukubali asichojua, na hujaribu kujifunza.

Wewe kuleta ujanja ujanja wa kuilaumu CCM kwa kitu hata ushichokijua ni sehemu ya Tatizo.

Tunataka CCM ilaumiwe kwa matatizo mengi wanayoshindwa kutatua, sio pale kusipokuwa na sababu ya msingi ya kuwalaumu.

Bwana mdogo, rudi shule ukasome, ujanja ujanja una mipaka yake. This time learn, stop worrying about exams.
 
wanasiasa mna maneno mengi, mi si mwanasiasa.

Ukinifuatili vyema ktk uzi huu. Kuna maswali nimeuliza. Waite jopo lako mtusaidie kuelewa.

Hawa jamaa kumbe wanakusumba nakupenda lingi ambazo hazina maana, hadi sasa sijapata wakunielewesha.
 
[table="width: 70%"]
[tr]
[td="width: 6%"]s0259/0018
[/td]
[td="width: 4%"]f
[/td]
[td="width: 6%"]2.4
[/td]
[td="width: 4%"]credit
[/td]
[td="width: 58%"]civ - 'd' hist - 'b' geo - 'd' kisw - 'c' engl - 'b+' lit eng - 'c' phy - 'c' chem - 'd' bio - 'b' b/math - 'd'
[/td]
[/tr]
[/table]
 
Unahitaji kukaa chini na kuisoma huu mfumo vyema kabla ya kuukosoa! Pia una hitaji kuujua mfumo wa marks....kumbuka zamani hakukuwa na B+ wala E kwenye matokeo ya form four! Kwa hiyo kuupitia juu juu na kusema ni mbovu ni kukosa adabu ..!

Umehitaji matokeo sasa nakupa haya hapa chini ya moja ya shule na sidhani kama haya unaweza kuyatumia kuukosoa mfumo wakati hujui marks husika zinapatikanaje!
Ok haya hapa
........
View attachment 226862

Walimu walioko darasani ndio wajuao iwapo wanafunzi wamefaulu au wamefeli. Hao wote huko nje sijui Dr.Charles wa NECTA, Dr.Shukuru Kawambwa, JK na wengineo ni WAPIGA KELELE TU.

Matokeo halisi na ya kweli wanayajua walimu madarasani.
 
Kumi bora
 
Attachments

  • 1423920896646.jpg
    1423920896646.jpg
    41.5 KB · Views: 376
1. Nimesikitoshwa nakitendo cha Kilimanjaro kupatikana na shule moja ya Mwisho .

2. Kwann shule nyingi za ukanda wa pwani zimeshika mkia .
 
p.0449/0101
[table="width: 70%"]
[tr]
[td="width: 6%"]p0449/0101
[/td]
[td="width: 4%"]m
[/td]
[td="width: 6%"]-
[/td]
[td="width: 4%"]pass
[/td]
[td="width: 58%"]civ - 'd' hist - 'c' geo - 'd' kisw - 'd' engl - 'd' lit eng - 'f'
[/td]
[/tr]
[/table]
 
Back
Top Bottom