Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

mkuu naomba uniangalizie matokeo ya hizi No:
S0232/0062/2014
S1632/0009/2014
NTASHUKURU SANA!
 
Kuna mkoa umekuwa wamwisho maana umetoa shule zaidi ya mbili kwenye kumi za mwisho sijui walikuwa wanafundisha au walikuwa wanafuatilia mahakama ya.....

Hahaaaaaaaa msome Mashaxizo
 
Last edited by a moderator:
Kwanini shule zetu za kata haziongozi kama zile za binafsi? Sasa tulijenga majengo mengi ya kupigia picha au?
 
Mfumo kama mfumo unaweza ukawa ni mzuri, ila tatizo linakuja ni kwanini wameshusha grade.

Kwann A imeshuka mpk 75% n.k, hapa unamshawish mtu aamin serikali inaficha uozo wa shule za kata na ufaulu kwa ujumla ili watu wengi wasijue elimu inavyoshuka.

Mfumo wa GPA ni mzur na lengo linaweza kuwa zuri, shida ni kwenye grading system. Inaamana walishindwa kuweka huu mfumo wa GPA kwa grading zile zile za zaman? Kulkuwa na ulazima gani wa kulazimisha kila kitu kifanane na chuo?

Na pia tunajidanganya wenyewe tu na mataifa mengine yatakuwa yanaticheka tu, tunaposema eti GPA 0.3-1.5 ni PASS. Hapa tunajidanganya wenyewe tu. Huu ufaulu wa asilimia 68 umechukua mpk hy PASS jamaniiii, hapa tunajidanganya wenyewe.

Mfumo ni mzuri ila kwa kushusha hizi grade na kuiweka GPA ya 0.3-1.5 kuwa PASS tunashusha elimu yetu wenyewe.
 
s.0247/0058 na s.4818/0060


[td="width: 6%"] s0247/0058
[/td]
[td="width: 4%"] f
[/td]
[td="width: 6%"] 4.0
[/td]
[td="width: 4%"] distinction
[/td]
[td="width: 58%"] civ - 'b' hist - 'b' geo - 'b+' b/knowl - 'b+' kisw - 'b+' engl - 'a' phy - 'b' chem - 'b+' bio - 'b+' b/math - 'b'
[/td]


[td="width: 6%"] s4818/0060
[/td]
[td="width: 4%"] f
[/td]
[td="width: 6%"] 2.7
[/td]
[td="width: 4%"] merit
[/td]
[td="width: 58%"] civ - 'c' hist - 'b' geo - 'c' kisw - 'c' engl - 'b+' phy - 'b' chem - 'c' bio - 'b' b/math - 'c'
[/td]
 
namba yangu hii hapa mkuu. P 2517/186


[td="width: 6%"] p2517/0186
[/td]
[td="width: 4%"] f
[/td]
[td="width: 6%"] 1.0
[/td]
[td="width: 4%"] pass
[/td]
[td="width: 58%"] civ - 'd' hist - 'd' geo - 'd' kisw - 'c' engl - 'd' lit eng - 'e' bio - 'd'
[/td]
 
Back
Top Bottom