Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

Elimu yetu sijui hata kama naelewa kinachoelendelea sasa.
Huko mbele tutaumia sana
 
Mashajf naomba unieleweshe vizuri kuhusu
pass na merit
 
Yes yametoka,ila kama hayaeleweki yamewekwa vip?
 
Hizi GPA zipo vipi hazieleweki.

Msaada:

DISTINCTION

MERIT

PASS


Zina maana gani????
 
Serikali yetu kila kukicha wanazidi kuharibu mfumo mzima wa ELIMI it is soo sad
 
hatimaye leo NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha nne 2014,kuyaangalia nenda web ya necta utayaona
 
Mbona wanazidi kutuchanganya na haya matokeo.
 
Elimu yetu sijui hata kama naelewa kinachoelendelea sasa.
Huko mbele tutaumia sana

Mkubwa KINACHOENDELEA KIKO WAZI KABISA.

CCM HAIKUWA TAYARI KUENDELEA NA MFUMO UNAOELEWEKA NA WATANZANIA WENGI.

HIVYO WAMEKUJA NA HZI COSMETICS AMBAZO HAZIELEWEK.

SHULE ZA KATA ZINAZALISHA WATOTO WASIOJIWEZA, HVYO NI BORA KUMPA MTU PASS KULIKO DIV. FOUR..

NI UJINGA MTUPU.
 
Back
Top Bottom