Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Upuuzi mtupu... Taifa halijawah pati katibu mkuu necta kande kama huyu.
acha kukariri, ni majina tu hayo, yanaathirije taaluma. Unaishi wapi wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi mtupu... Taifa halijawah pati katibu mkuu necta kande kama huyu.

acha kukariri, ni majina tu hayo, yanaathirije taaluma. Unaishi wapi wewe?
credit????
sory, distinction(ufaulu uliojipambanua) =dv1
credit=dv2, merit=dv3, pass=dv4, fail ndio dv5.
Upuuzi mtupu... Taifa halijawah pati katibu mkuu necta kande kama huyu.
Kosa lake nini au leo umeamka na kisirani?
Mkuu kuna majina ya shule nadhani yanatia laana katika elimu,eti Mama Salma,Philipo Mangulasisiyemu woyeeeeee!!
Leo tena nimeamini ukitaka kucheza na akili za Watanzania walio wengi weka vitu kwenye maandishi, watu hawasomi!
Katibu Mtendaji huyu huyu mwaka jana 2014 aligumia muda mwingi kwenye media hasa magazeti kuelezea Alama mpya, akendesha semina kwa REOs, DEOs nchi nzima lakini kwa kuwa watu hawajazoea kufuatilia vitu mpaka yawakute hawakujishughulisha.
Leo hii mtu anauliza Maana ya distinction wakati hata vyuoni inatumika. Alichofanya DR. MSONDE- Executive Secretary ni kuweka mfumo sawa na ule unaotumika Vyuoni ili udahili TCU uwe rahisi.