Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Ahsante sana kiongozi, Mungu yu mwema.
 
Nitakuletea Top 100.... Nafikiri 90%ni shule za Kanisa Katoliki..Tumsifu Yesu Kristo
Mkuu nisaidie hizi shule nimejaribu mpaka kichwa kinauma nimeshindwa kua access matokeo
Mwanza secondary (QT), Butimba secondary (QT), Masumba secondary school & Pamba secondary school. Nitashukuru sana kiongozi
 
Seminary cku hizi hazifaulishi tena kama zawani

Maua,Uru, St James, USA Seminary......sizikiii tena, What went wrong? ....................................................What went What? What went Wrong
Idadi ya wanafunzi chini ya 40 huwa zinapangwa kivyao
 
Ww jamaa nimejaribu kufuatilia comments zako inaonekana una chuki za wazi kabisa na watu wenye imani tofauti na yako,bila Shaka ww utakuwa ni wale wakata suruali
 
msaada tafadhali kwa namba hiyo tena S.0583
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…