Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Nitakuletea Top 100.... Nafikiri 90%ni shule za Kanisa Katoliki..Tumsifu Yesu Kristo
Mkuu nisaidie hizi shule nimejaribu mpaka kichwa kinauma nimeshindwa kua access matokeo
Mwanza secondary (QT), Butimba secondary (QT), Masumba secondary school & Pamba secondary school. Nitashukuru sana kiongozi
 
Seminary cku hizi hazifaulishi tena kama zawani

Maua,Uru, St James, USA Seminary......sizikiii tena, What went wrong? ....................................................What went What? What went Wrong
Idadi ya wanafunzi chini ya 40 huwa zinapangwa kivyao
 
Sasa we una division one unatembelea sijui spacio wenye zero wanasukuma mikebe ya maana, halafu unaanza kujisifia mbele ya wanaume ambao wakiuza site mirror ya mikebe yao tu wananunua spacio unayotembelea.

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
Ww jamaa nimejaribu kufuatilia comments zako inaonekana una chuki za wazi kabisa na watu wenye imani tofauti na yako,bila Shaka ww utakuwa ni wale wakata suruali
 
msaada tafadhali kwa namba hiyo tena S.0583
 
Back
Top Bottom