Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Bro umeniona, unanijua?acha kuzihaki watu usiowajua, tulisoma kuondoa ujinga wenzako
Umesema uarabu sio ngozi na nywele.

Uarabu ni nini yakhee....usije leta upoyoyo wa kibwabwajaji

Cc: Faiza Foxy kuja saidia nduguyo katika Imaan.
 
Siwezi kujiita mi mwarabu wakati nimezaliwa agha khan ingawa baba yangu kwao ni Iran
Kwahiyo hujiiti Mwarabu kwakuwa tu umezaliwa Agha khan yakhee..?

Ikiwa una uraia wa Tanzania twakuita Mtanzania mwenye asili ya Asia. Sawa?

Hatuwezi kuacha kumwita Rostam Azizi mhindi hata kama angezaliwa manyoni.

Sawa sheikh?

Umeona uarabu ni nini?
 
Naona mitoto inayoshinda insta na whatsapp imeongoza kutoka Chini, namba huwa haidanganyi bwana wamevuna walichopanda
 
Kwahiyo hujiiti Mwarabu kwakuwa tu umezaliwa Agha khan yakhee..?

Ikiwa una uraia wa Tanzania twakuita Mtanzania mwenye asili ya Asia. Sawa?

Hatuwezi kuacha kumwita Rostam Azizi mhindi hata kama angezaliwa manyoni.

Sawa sheikh?

Umeona uarabu ni nini?
Umeishiwa hoja, tupo town kitambo vyeti tumeweka kabatini
 
Mbona network inakata si halotel wala voda,ukiingia link ya matokeo tu inagoma.
 
One ya 14 kibaha narudia, sikusoma ili kuajiiriwa kulipwa eti tumilioni 2
Kumbe u msomi ila waandika kama teja wa magomeni yakhee?

Majority of Tanzania students hv their big dreams of which they fail to accomplish kwasababu ya mazingira. SAWA?

Wengi hasa graduates hawapendi kusoma ili waajiriwe ila circumstances ndio zinasababisha hayo, mfano ukosefu wa Capital.

Kwahiyo kuajiriwa ni 2nd option baada ya kushindwa kujiajiri.

Sawaa????
 
Duh, hiyo ya mwisho naona kama inareflect jina lake!!!!"""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii kali mkuu "Active Activity Activated"
 
Back
Top Bottom