Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Hilo swali napaswa nikuulize wewe na Faiza Foxy ambao huwa mnasema ninyi ni WAARABU lakini mna nywele ngumu na ngozi nyeusi

Kwangu mimi ukiwa na nywele nyeusi za kiafrika na ngozi nyeusi wewe si MWARABU ila ni MWAFRIKA.

Sasa leo tuambie wewe kama uarabu si ngozi, pua ndefu na nywele, je ni nini?

Go ahead..
Sasa mbona unashangaa kumiliki maghorofa kariakoo na waliopata one kuishiwa kuajiriwa kulipwa laki tano?, maisha ni zaid ya dini na kufaulu vizuri shuleni
 
Unapata one unakuja kulipwa 1 miilion wenye 0 wanamiliki yadi hilo jibu tosha kwa munaojiita WASOMI
Ndio maana hampendi shule eeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmemrithi yule jamaa yenu.

KUMBUKA: Hujanitajia hao waislam wabantu waliowaajiri wakristo.
 
Hamna ambaye hapendi shule, ila ni ujinga eti kufaulu kuanza kuwapkndawenzako kwa kisingizo cha dini, wakati hao wenzako wanamiliki asilimia 80 ya uchumi wa nchi
 
Sasa mbona unashangaa kumiliki maghorofa kariakoo na waliopata one kuishiwa kuajiriwa kulipwa laki tano?, maisha ni zaid ya dini na kufaulu vizuri shuleni
Unazidi kudhihirisha ukilaza wako unajua?

Jibu maswali niliyokuuliza kwanza ndipo uulize maswali

This is dialogue....2 way conversation.
 
walisema lindi hawana mwamuko na elimu, sasa hawa wa Dar!
Au wapo bize bado na wimbo wa Darasa [HASHTAG]#Muziki[/HASHTAG]
 
Hamna ambaye hapendi shule, ila ni ujinga eti kufaulu kuanza kuwapkndawenzako kwa kisingizo cha dini, wakati hao wenzako wanamiliki asilimia 80 ya uchumi wa nchi
Wapi hao wanaomiliki hizo 80% mbona huwataji?

Mudy alipenda shule?
 
Unazidi kudhihirisha ukilaza wako unajua?

Jibu maswali niliyokuuliza kwanza ndipo uulize maswali

This is dialogue....2 way conversation.
Mimi na wewe nani kilaza, kilaza wakati nimeajiri division one na walipa mshahara
 
Nawe karithi kama ni rahisi kwani nani kasema kila mkatoloki kapata division one
Kwahiyo wewe nywele ngumu na ngozi nyeusi ni Mwarabu?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bro umeniona, unanijua?acha kuzihaki watu usiowajua, tulisoma kuondoa ujinga wenzako
 
Mimi na wewe nani kilaza, kilaza wakati nimeajiri division one na walipa mshahara
Wewe Failure yaelekea ulipata zero kwajinsi unavyowachukia waliopata Div I.

Wewe ni Mwarabu mwenye ngozi nyeusi na nywele ngumu?
 
Kwahiyo wewe nywele ngumu na ngozi nyeusi ni Mwarabu?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siwezi kujiita mi mwarabu wakati nimezaliwa agha khan ingawa baba yangu kwao ni Iran
 
Back
Top Bottom