Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Naomba mnisaidia kuniangalizia mdogo wangu hapa hali tete.. namba yake ni S2078/0042
Div II pnts 18
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'A' B/MATH - 'C'
 
Naomba mnisaidia kuniangalizia mdogo wangu hapa hali tete.. namba yake ni S2078/0042
nimeshindwa ku"capture natumia simu ila ana DIV 2 ya point 18 shule inaitwa MASABA secondary...
 
nimeshindwa ku"capture natumia simu ila ana DIV 2 ya point 18 shule inaitwa MASABA secondary...
nisaidie s4119/0024 na s1966/0144 na p011/0065 maana watu hawataki hata kula
 
Hawa necta sijui wanatumia server gani.... yaani ipo slow sana na ndio maana wengi wetu hapa tunashindwa ku access matokeo. Sijui watu wa computer wanafanya nini kuhusu hili.... Yaani ni bure kabisa......!!!

Ni bora hata wangetumia tu Online server kuliko hii ya kwao....!!
 
S5097/0009

F

20

II

CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' LIT ENG - 'B' BIO - 'C' B/MATH - 'C' COMM - 'D' B/KEEPING - 'C'
mkuu nmekuomba hapo juu uniangalizie hao watoto wananisumbua hapa hadi hawataki kula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…