Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Naomba mnisaidia kuniangalizia mdogo wangu hapa hali tete.. namba yake ni S2078/0042
Div II pnts 18
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'A' B/MATH - 'C'
 
Hawa necta sijui wanatumia server gani.... yaani ipo slow sana na ndio maana wengi wetu hapa tunashindwa ku access matokeo. Sijui watu wa computer wanafanya nini kuhusu hili.... Yaani ni bure kabisa......!!!

Ni bora hata wangetumia tu Online server kuliko hii ya kwao....!!
 
S5097/0009

F

20

II

CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' LIT ENG - 'B' BIO - 'C' B/MATH - 'C' COMM - 'D' B/KEEPING - 'C'
mkuu nmekuomba hapo juu uniangalizie hao watoto wananisumbua hapa hadi hawataki kula
 
Back
Top Bottom