Candidate 004, ana div four ya 30, civics,physics,mathematics,history ana FMkuu s.3134/004 na s.3134/013 LEGICO SEC
,biology,chem engl na geo ana D,
Cand no.13 ana 0 ya 34,ana D moja tuu na F zote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Candidate 004, ana div four ya 30, civics,physics,mathematics,history ana FMkuu s.3134/004 na s.3134/013 LEGICO SEC
Kwa huu mchango wako mkuu uko vizuri, kwanza una pumzi, stamina na approaching power. Vilevile unazo pointi za msingi kutetea mawazo yako. Tunataka watanzania kama wewe. Well done!Kwa sasa suala la Elimu ya Msingi na ile ya Upili imekuwa ni jukumu la sekta binafsi
Sekta binafsi ndio inajenga mazingira bora ya elimu na watoto kufanya vizuri kuliko serikali.
Lakini "Social Contract" kati ya wananchi na serikali kila baada ya miaka mitano ya kuomba kura huwa ni malipo ya elimu bora,afya bora na huduma bora za maji na maisha.
Serikali imekuwa mdau mkubwa wa kutokufuata masharti haya ya "Social Contract" kati yake na wapiga kura.Kuwepo na ukosefu wa shule za serikali ktk kumi bora,ni moja ya uvunjwaji mkubwa wa "mkataba wa kijamii" kati ya serikali na wananchi.Na hapa Serikali inapswa kuadhibiwa.
Unawekaje kipimo sawa kati ya mwanafunzi anayesoma kwa kibatari na chemli kule Iselamagazi Tabora na yule anafanya study Tour Uturuki huku akiwa na mazingira bora ya kusoma?
Na hili kudhihirisha hivyo,kwa sasa huwezi kukuta viongozi wa serikali wakipeleka watoto wao ktk shule za serikali kwa maana na wao hawaamini ktk ubora wa elimu inayotolewa na shule za umma.
Ilboru,Tabora Boys,Mzumbe,Kibaha,Weruweru,Tabora Girls,Kilakala,Msalato na Korogwe Girls zimebaki magofu ya historia ya elimu bora ya Tanzania.Majengo ni toka ya mkoloni.Hakuna jitihada za kimkakati za kurudisha ubora.
Elimu imekuwa biashara badala ya Huduma.Na hao watunga sera wanaopaswa kuirudisha elimu ktk mstari mnyoofu ndio wafanyabishara wa elimu.Waziri anamiliki shule,mbunge anayeisimamia serikali naye anamiliki shule au kuwa na hisa ktk biashara ya elimu.
Katika nchi zilizoendelea,Elimu ya msingi na upili sio biashara,bali ni huduma.Ni huduma kwa sbb ni haki ya kimsingi ya kila mtu kupata elimu ya msingi na ya upili.Ndio maana nchi kama Sweden ni fahari kuwa sehemu ya shule ya serikali kuliko binafsi.
Mazingira ya kielimu ya mtoto aliyeko Kwa Msisi Handeni,ambapo zaidi ya kuwaza masomo,anawaza wapi atapata maji ya kuoga na kunywa si sawa na Marian Girls,ambapo mpaka pedi mtoto anaikutq kati vyoo vya shule,hawa hawawezi kuwa sawa kieleimu na kimtazamo.
Hii ni sawa na kuwaweka ulingoni Dula Mbabe anyecheza ngumi za amacha na Myweather
Its like feather weight boxer vs heavyweight boxer!!Kwa hili tujitathmini upya
S3134/0004Mkuu s.3134/004 na s.3134/013 LEGICO SEC
S3845/0063Msaada S3845/0063. Malama sec
History,kiswahili na English ana D,mengine F,hivyo ana four ya 32Naomba niangalizie hii mkuu S1802/0173 shule inaitwa Bweri
Masjid wanafundisha Kibra, wakisoma nani achinje kuku!!!??Shule Zetu Za Masjid Ngap Zipo Top Ten?
Hizi shule za kislaam zinakuja aribia mikoa ya arusha na kilimanjaro waachane na elimu dunia waendelee na kurwni bana khaMATOKEO KIDATO CHA 4
Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%.
- Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia.
Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016 wafaulu.
Shule za Dar zaongoza washika mkia matokeo ya kidato cha Nne.
Matokeo yote yapo hapa >> http://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.htm
Mkuu naomba msaada wa s.3134/014Candidate 004, ana div four ya 30, civics,physics,mathematics,history ana F
,biology,chem engl na geo ana D,
Cand no.13 ana 0 ya 34,ana D moja tuu na F zote!