Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Hamna ambaye hapendi shule, ila ni ujinga eti kufaulu kuanza kuwapkndawenzako kwa kisingizo cha dini, wakati hao wenzako wanamiliki asilimia 80 ya uchumi wa nchi
Wauza ice cream, maji, juice, Sabuni na sembe, ndo wamiliki uchumi wa tz, vip kuhusu wa ma benk, kampuni za simu, viwanda vya tbl, tcc, sbl, na migodi
 
Elimu bure inaua shule za Serikali.
Kampeni hizi...

Wamiliki wa shule binafsi watapandisha tu ada kwa visingizio kibao kwa sababu elimu bure kwa sasa hakuna kitu tena.
 
'Ningekua' Waziri ningeangalia namna ya kurudisha Ada mashuleni ili zisaidie kuboresha mazingira ya shule.

Zingeteuliwa shule chache tu za bweni. (Sio zile zilizokua vipaji maalum)
Hizo Shule angalau 10-20 kwa Tanzania nzima. Ziwe Maalum kama kina Olympio na Diamond.
Zinaboreshwa mazingira halafu zinatoza ada KUBWA. Kubwa sio Milioni.
300,000-600,000 hivi kwa mwaka. Pesa inayopatikana inagaiwa Ruzuku kwenye zile shule zingine za bure ili angalau kuboresha elimu.
Hali ni mbaya.

Pia shule za Kutwa kwa Dar ni changamoto na huu utandawazi. Watoto kutwa na simu mitandaoni hawana cha maana wanachofanya.
SIMU NA INTERNET CAFE HAZIWASAIDII KIMASOMO, ZINAWAPOTOSHA.

Walimu pia wangepangwa tu kikanda. Kuna maana gani kumpangia mtu Tarime au Kibondo anaamua kuacha kazi wakati anatoka Ruvuma na kuna Shule Nyasa haina Mwalimu?
Si huwa wanapewa Mikoa ya Kuchagua?
Wapeni Wilaya wajaze.
Wilaya za walimu wengi zisiwepo kwenye chaguzi
 
Pwani imeamua
Yap mkuu Pwani imeamua.
1:Shule kumi bora imeingiza shule tatu
2:Mikoa kumi bora imeingia ya saba
3:Halmashauri kumi bora imeingiza halmashauri mbili- Mkuranga na Kibaha.

Ndugu zao Dar wanacheza sana ingawa imeingiza shule tatu katika kumi bora.

Tanga nayo imeingiza shule moja
Kwa hiyo ukiangalia mikoa ya Pwani imeingiza jumla ya shule 7 kati ya kumi.

Kanda ya kaskazini imeingiza shule moja (Shamsiye Islamic) toka
Kilimanjaro
Kanda ya ziwa imeingiza shule 1Kaizerege toka Bukoba.

Na nyanda za juu kusini imeingiza shule moja toka Mbeya.

View attachment 465906

tapatalk_1485903238310.jpeg
 
'Ningekua' Waziri ningeangalia namna ya kurudisha Ada mashuleni ili zisaidie kuboresha mazingira ya shule.

Zingeteuliwa shule chache tu za bweni. (Sio zile zilizokua vipaji maalum)
Hizo Shule angalau 10-20 kwa Tanzania nzima. Ziwe Maalum kama kina Olympio na Diamond.
Zinaboreshwa mazingira halafu zinatoza ada KUBWA. Kubwa sio Milioni.
300,000-600,000 hivi kwa mwaka. Pesa inayopatikana inagaiwa Ruzuku kwenye zile shule zingine za bure ili angalau kuboresha elimu.
Hali ni mbaya.

Pia shule za Kutwa kwa Dar ni changamoto na huu utandawazi. Watoto kutwa na simu mitandaoni hawana cha maana wanachofanya.
SIMU NA INTERNET CAFE HAZIWASAIDII KIMASOMO, ZINAWAPOTOSHA.

Walimu pia wangepangwa tu kikanda. Kuna maana gani kumpangia mtu Tarime au Kibondo anaamua kuacha kazi wakati anatoka Ruvuma na kuna Shule Nyasa haina Mwalimu?
Si huwa wanapewa Mikoa ya Kuchagua?
Wapeni Wilaya wajaze.
Wilaya za walimu wengi zisiwepo kwenye chaguzi
Mkuu halali unawaza matokeo tu
 
shule za kikatoliki.....wapwan wanao soma ktk hizo shule ni wa kuhesabu. ungewekwa utaratiba wenyeji wapewe vipaumbele ktk hizo shule

Washukuru hizo shule za kanisa hapo, otherwise ingekuwa anguko

Shule Zetu Za Masjid Ngap Zipo Top Ten?

Thubutuuuu!!!

Na hao wengine matajiri ni wapi?

Huyo Ali Mafuruki amewaajiri wakristo wangapi?

Sifa kuu za watu wa kaskazini
1:Uchadema
2:Kuingiza udini katika kila uzi (watatafuta chochote kinachohusiana na dini yao)
3:Kuingiza ukanda na ukabila
4:Kupenda kusifia vitu vya Kenya
5:Chuki na wivu wa maendeleo ya wenzao.

N:B nahisi katika niliowaquote mtakuwa mnatoka huko mikoani ya kaskazini.

Pwani imeamua

Yap mkuu Pwani imeamua.
1:Shule kumi bora imeingiza shule tatu
2:Mikoa kumi bora Pwani imeingia (ya saba)
3:Halmashauri kumi bora imeingiza halmashauri mbili- Mkuranga na Kibaha.

Ndugu zao Dar wanacheza sana ingawa imeingiza shule tatu katika kumi bora.

Tanga nayo imeingiza shule moja
Kwa hiyo ukiangalia mikoa ya Pwani imeingiza jumla ya shule 7 kati ya kumi.

Kanda ya kaskazini imeingiza shule moja (Shamsiye SS -Islamic?) toka
Kilimanjaro
Kanda ya ziwa imeingiza shule 1 Kaizerege toka Bukoba.

Na nyanda za juu kusini imeingiza shule moja toka Mbeya.

tapatalk_1485902377711.jpeg

tapatalk_1485903238310.jpeg
 
hao tbl mabenki etc siyo mali ya mtu mmoja bali group of people na taasisi za ndani na nje ya nchi.
ila hawa wauza juisi ndio wazawa wenye kulipa kodi kubwa na uwekezaji mkubwa nchini
Wauza ice cream, maji, juice, Sabuni na sembe, ndo wamiliki uchumi wa tz, vip kuhusu wa ma benk, kampuni za simu, viwanda vya tbl, tcc, sbl, na migodi
 
Naomba mniangalizie Paji Secondary School s2273!
Naomba muyascreenshot yote maana sio wengi!
 
Naomba mniangalizie Paji Secondary School s2273!
Naomba muyascreenshot yote maana sio wengi!
 
Msaada Jaman nahitaj kuangalia matokeo ya dada yangu alikua anarisiti please kwangu imegoma huku number yake ni p1602.0011
 
Msaada Jaman nahitaj kuangalia matokeo ya dada yangu alikua anarisiti please kwangu imegoma huku number yake ni p1602.0011
P1602/0011
IV.32
CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
 
Back
Top Bottom