Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Mheshimiwa Makonda naona vijana wako wamekudharaulisha,Pole sana mkuu wetu,Mwambie kamanda Sirro awakamate wakuu wote washule awasweke ndani,
Hivi tamisemi si ndio wanao simamia shule za sekondari ambapo muwakilishi wa tamisemi ni local goverment ya sehemu husika
Sasa apo wa kulaumiwa ni Makonda au Meya??
 
S. or P ?
Kwanini usiingie web ya Necta?
Kwanini unapenda mtelezo?
Utaweza kweli Kwenda form 5 kwenye masomo kama kuangalia tu matokeo hujui?
Mkuu kulikuwa hamna haja ya kutoa kejeli zote hizi!Ungeniuliza Kama ni school candidate ama Private candidate! Ni S.0474
 
Mkuu kulikuwa hamna haja ya kutoa kejeli zote hizi!Ungeniuliza Kama ni school candidate ama Private candidate! Ni S.0474
[emoji23] [emoji23] JF bhana, anyway Jaji mfawidhi umekosa uungwana,
 
Nasikia shule za dar wame appeal na kumwita Jecha aje kufanya kazi yake

Just a joke.
 
*OYA KAMA KUNA MTU AMEFANIKIWA KUFUNGUA WEBSITE YA NECTA NAOMBA ANIANGALIZIE MATOKEO YA ARSENAL NA WATFORD*[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shule sta zilizo feli zko Mkoa gan vile ambapo unajifanya unajua kiswaz hata kiswaz chenyewe wamefeli haaaaaaaa Tanzania mpy.
 
Nawapongeza sana Marian girls&boys sec za bagamoyo-pwani kwa kufanya vizuri na hatimaye kuingia kwenye top ten kama kawaida yenu! Naupongeza uongozi mzima wa skuli hizi kazeni boot,nini baana!
 
Nawapongeza sana Marian girls&boys sec za bagamoyo-pwani kwa kufanya vizuri na hatimaye kuingia kwenye top ten kama kawaida yenu! Naupongeza uongozi mzima wa skuli hizi kazeni boot,nini baana!
Wanalipiwa pesa ndefu sana
 
Naomba unisaidie matokeo ya huyu mtu ananisumbua mno
S.2345/0035
2017_02_02_21-35-59-png.466586

2017_02_02_21-37-12-png.466589

Naomba unisaidie matokeo ya huyu mtu ananisumbua mno
S.2345/0035
 
Attachments

  • 2017_02_02_21.35.59.png
    2017_02_02_21.35.59.png
    14.8 KB · Views: 264
  • 2017_02_02_21.37.12.png
    2017_02_02_21.37.12.png
    17.5 KB · Views: 298

Attachments

  • 2017_02_02_21.53.04.png
    2017_02_02_21.53.04.png
    17.1 KB · Views: 366
  • 2017_02_02_21.53.37.png
    2017_02_02_21.53.37.png
    18.7 KB · Views: 371
  • 2017_02_02_21.53.49.png
    2017_02_02_21.53.49.png
    17.4 KB · Views: 351
  • 2017_02_02_21.53.59.png
    2017_02_02_21.53.59.png
    22.6 KB · Views: 359
  • 2017_02_02_21.54.13.png
    2017_02_02_21.54.13.png
    22.5 KB · Views: 370
Back
Top Bottom