Wanawasiliana vipi na wewe[emoji310][emoji310][emoji310][emoji310]PATA ADMISSION ZA 2017/2018 KATIKA VYUO BORA NA VYA ADA NAFUU NCHINI CHINA.KWA KOZI ZA MEDICINE NA FOUNDATION COURSES WASILIANA NASI SASA KWA MAELEZO ZAIDI. KIDATOCHA NNE,KIDATO CHA SITA [emoji310][emoji310][emoji310][emoji310]
Kodi anayolipa airtel peke yake ni ya azam mara 6hao tbl mabenki etc siyo mali ya mtu mmoja bali group of people na taasisi za ndani na nje ya nchi.
ila hawa wauza juisi ndio wazawa wenye kulipa kodi kubwa na uwekezaji mkubwa nchini
Hahhaahhaa, watu wameingia mitini na madawa ya kulevya.Sitaki tena kusikia habari za makonda wala dawa nimechoka, tumepoteza mda mwingi sana tumeshindwa kujadili mambo ya msingi kama elimu ya tanzania, vichwa vyote vimegeukia kwenye hoja za kijinga kabisa.
Mh. Ndalichako vipi tathimini yako hukusu kufeli kwa shule za serikali au ndiyo na wewe umejificha kwenye kichaka cha makonda, mimi bado niko na wewe sikuachi.
Mwisho kabisa uliingia kwa mbwembwe mara hakuna kuvaa majoho, mara sayansi ni ladhima n.k. tunaomba majibu kwasababu tuko mwaka 2017 bado miezi michache tu form wafanye paper tena.