Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Ndugu naomna matokeo ya Shule hii S.2735

NATANGULIZA Shukrani zangu za dhati.
 
mtanadao umezidiwa asee,acha nitulie ntaangalia hata saa nane usiku hv kwa uhuru
 
Nitakuletea Top 100.... Nafikiri 90%ni shule za Kanisa Katoliki..

Tumsifu Yesu Kristo
Acha wivu.. na za kiislam ufaulu wake ukoje hapo kwenye top 100? Au hata kwenye top 100 hazipo.. Atlist za kikatoliki katika hiyo top 100 ziko 6 kwenye top 10

Milele Amina![emoji120]
 
Back
Top Bottom