Matokeo Law School Cohort ya 35 yametoka: Sijui matokeo ya jumla yakoje, maana hutoka kimya kimya kila mtu anachungulia akaunti yake tu!!

zeuman

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2023
Posts
265
Reaction score
501
Law School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!!
Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa masomo yote!!
 
f7a9f5f91d595d13d545b1d06aed3411.jpg
 
Kile ni chuo mkuu matokeo ya jumla sio muhimu.
Wanafunzi wa lawschool hawajitumi kusoma, wametoka vyuo wakiwa watupu unategemea nini... Lawama kibao Kwa walimu ila wengi wa wanafunzi ni vilaza grade one.
 
Moja kati ya ujanja wa elimu ni huu mtu anafanya kazi huku anaendelea kusoma bora aombe likizo asome mazima akiwa hana kazi mda huo.

Msuli wa pale Law ni mtiti ,sasa ukisoma kama vile mtoto wa mjini lazima uangukie pua kwa kweli ,hali ni mbaya ila kusoma lazima kujitoa muhanga.
 
Law School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!!
Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa masomo yote!!
[emoji1787][emoji1787]

Matokeo yakitoka ndio mnakuja hadharani KULALAMIKIA kutopewa wanafunzi hizo "C/A results".....
 
Law School ni chuo cha ajabu!! Mwanafunzi huwa hapewi continuous assessment, anafanya mtihani wa mwisho bila kujua ana alama ngapi kwenye continuous assessment!! Matokeo ya mwisho ndo unaambiwa continuous assessment ulikuwa na grade gani!!
Jamaa yangu amechungulia akaunti yake akakuta amekandwa masomo yote!!
Amepata alichostahili.Wanafunzi wengi hawasomi wala kujituma siku hizi kwa nini wasifeli?
 
Kile ni chuo mkuu matokeo ya jumla sio muhimu.
Wanafunzi wa lawschool hawajitumi kusoma, wametoka vyuo wakiwa watupu unategemea nini... Lawama kibao Kwa walimu ila wengi wa wanafunzi ni vilaza grade one.
[emoji15][emoji1787][emoji1787]

Si "generalization" hii ?!!
 
Kile ni chuo mkuu matokeo ya jumla sio muhimu.
Wanafunzi wa lawschool hawajitumi kusoma, wametoka vyuo wakiwa watupu unategemea nini... Lawama kibao Kwa walimu ila wengi wa wanafunzi ni vilaza grade one.
Duh! Kazi ipo!
 
Hawasomi watoto wa siku hizi I have 3people wametoboa law school,msuli wa pale sio wa kitoto,km umezoea chabo na janja janja usiende law school kasome Mass com hukooo n.k
Hakika kusoma hawataki matokeo yakitoka eti wanakamatwa makusudi? Seriously?
 
Back
Top Bottom