BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
-Tatizo ni mtihani inakuwa migumu sana ndiyo maana watu wanafeliMnafanyiwa utapeli tu hapo Law School, huwezi kuniambia kozi ya sheria ni ngumu kuliko Uhandisi au Udaktari wa Binadamu, lakini bado watu wanasomea kazini na wanafaulu vizuri tu.
Kwa ufupi Law School ni chuma ulete iliyochangamka.
-Medical Council of Tanganyika wanatunga mitihani rahisi ndiyo maana unakuta wanafeli wachache compared to Law school
-hatuzungumzii ugumu wa Sheria huko kwenye vyuo vya digrii, tunazungumzia Law school