BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
-Tatizo ni mtihani inakuwa migumu sana ndiyo maana watu wanafeliMnafanyiwa utapeli tu hapo Law School, huwezi kuniambia kozi ya sheria ni ngumu kuliko Uhandisi au Udaktari wa Binadamu, lakini bado watu wanasomea kazini na wanafaulu vizuri tu.
Kwa ufupi Law School ni chuma ulete iliyochangamka.
Ndugu kiuhalisia roho mbaya ya mtu mweusi inajidhihirisha wazi hapo Law school, kinachofanyika sio kwamba kweli watu wanashindwa kutoboa kwenye hiyo mitihani, bali kinachofanyika ni kubalance number ya Mawakili katika soko wakihofia kuporomoka kwa thamani ya taaluma yao ikiwa watafurika wengi sokoni.-Tatizo ni mtihani inakuwa migumu sana ndiyo maana watu wanafeli
-Medical Council of Tanganyika wanatunga mitihani rahisi ndiyo maana unakuta wanafeli wachache compared to Law school
-hatuzungumzii ugumu wa Sheria huko kwenye vyuo vya digrii, tunazungumzia Law school
- hili ulilosema Sina ushahidi naloNdugu kiuhalisia roho mbaya ya mtu mweusi inajidhihirisha wazi hapo Law school, kinachofanyika sio kwamba kweli watu wanashindwa kutoboa kwenye hiyo mitihani, bali kinachofanyika ni kubalance number ya Mawakili katika soko wakihofia kuporomoka kwa thamani ya taaluma yao ikiwa watafurika wengi sokoni.
Kitu ambacho kiuhalisia hakileti tija katika taaluma, nasikia ujinga huo pia ulikuwepo mwingi wakati watu wanatafuta CPA, japo kwa kiasi kikubwa wao wamekwisha toka huko.
Usijidanganye NBAA bado wananyoosha watu Kama kawa.Utofauti Ni kwamba Sasa hivi watoto wanaotoka chuo(Freshers) Ni wengi na wameshajua pale sio pa mchezo mchezo.Wanapiga kitabu si polepole.Ndugu kiuhalisia roho mbaya ya mtu mweusi inajidhihirisha wazi hapo Law school, kinachofanyika sio kwamba kweli watu wanashindwa kutoboa kwenye hiyo mitihani, bali kinachofanyika ni kubalance number ya Mawakili katika soko wakihofia kuporomoka kwa thamani ya taaluma yao ikiwa watafurika wengi sokoni.
Kitu ambacho kiuhalisia hakileti tija katika taaluma, nasikia ujinga huo pia ulikuwepo mwingi wakati watu wanatafuta CPA, japo kwa kiasi kikubwa wao wamekwisha toka huko.
wanafunzi wote?Kile ni chuo mkuu matokeo ya jumla sio muhimu.
Wanafunzi wa lawschool hawajitumi kusoma, wametoka vyuo wakiwa watupu unategemea nini... Lawama kibao Kwa walimu ila wengi wa wanafunzi ni vilaza grade one.
Mimi sio mwanasheriaSio kweli,
Kila taaluma Ina vilaza, sio sheria tu
Inaonekana Pengine ulifeli Law school
BTW mimi Nina CPA
Na ninyi ndiyo mnaosumbua. Mkiambiwa changamoto za LST mnaleta ujuajiMimi sio mwanasheria
Ila nimesoma Sheria kama supporting module kwenye degree na mastaz yangu,so ninaujua msuli wa Sheria
Na baba watoto wangu ni mwanasheria,so Nina basic understanding ya law
Ila aliyekwambia mie nilifel law school ni nani?
Sijawahi hudhuria law school
Baba watoto alikwenda mwaka 2020 na alitoboa vizuri tu.
90%wanafunzi wote?