Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa!!!, Maana nao ni wana wa Mungu.Kucheleeeee!
Wanapofanya vizuri wanapaswa kupongezwa pia
Sijuhi hata unaongelea nn? Wazazi wa huko Mtwara ndiyo walioeneza uzushi wa matokeo au hauamini kuwa Mtwara wanaweza kufanya vizuri na kuingia top ten? Think bigRc kapaniki vibaya aangalie jamii ya wazaz wa uko ndo ataelewa
Khaaaa!!!,mada si inazungumzia kuhusu taaluma mbovu Mtwara,Sasa hbr ya kufanya vizuri kitandani inakujaje hapa?
sidhani kama hata huo muda wanao waliowengi na ukijumlisha na wanasiasa mmhhh sijui labdaHili ni tatizo la kutafutiwa ufumbuzi si kulaumiana. Kama ufumbuzi usipodanyiwa mkakati wa kuwafimia wananchi hapo ndiyo tumlaumu Byakanwa.
Watu wa utafiti jamii wapewe jukumu la kufanya utafiti.
maeneo mengi ya pwani watu ni wavivu kwahiyo kuna factor nyingi nyuma ya paziaWewe mtoto akiwa Mdogo tu darasa la kwanza sijui la pili anachezwa ngoma [emoji108][emoji108]
Akijavunja ungo anachezwa mwali anaanza kuwmbiwa mambo ya kikubwa [emoji108][emoji108]
Japo sijui unaandika ukiwa wapi, ila hilo jambo kwa sasa ni historia tu na halipo. Siyo walimu tu Bali watumishi wanavutiwa sana kwenda kusini. Miundombinu ishakamilika. Kuna gari mpaka la saa 8 Mtwara Dar, ni full luxury buses. gari za mbeya Mtwara, songea mtwara, tanga Mtwara, Dodoma Mtwara. Sasa waogope Kuna nn?pia mwitikio wa waalimu kwenda sehemu za kusini kufundisha pia ni changamoto sana maana mmhh unajiuliza kwann hawapendi kuja mtwara au klusini kwa ujumla huelewi
Hoja ilikuwa ni Mtwara kutoa shule 9 Za mwisho kitaifa wakati haipo kwenye kumbi Za mwisho ila Wapo kwenye top ten. So, nihalali kuambiwa wakanushe na ndiyo maana wamekanusha. Sasa hapo siasa imeingiaje man! Unachuki binafsi na Wana Mtwara. Nenda kaombe kitalu Cha gas uwekezeNaona siasa imeingizwa kwenye performance ya matokeo ya mitihani.
Badala ya kutafuta kupata ufafanuzi wanamwambia jamaa akanushe, halafu naye amekanusha kweli.
Kwani haiwezekani taarifa ikawa overlooked lakini kumbe ni sahihi?!
Inasikitisha.
Hamasa ishatolewa Sana ndo maana wanafanya vizuri mpaka top ten ya Taifa. Taja halmashauri yako na shule ya kijijini kwenu tuone inashindana na ipi Mtwara. Aidha, nakuomba fuatilia matokeo kwenye jedwali la necta uelewe vizuri. Mtwara haipo kwenye kumi za mwishoooooWanajaribu kupata mafuta kwa mgongo wa chupa kutaka kujiridhisha Eti siku hizi wanafanya vizuri,
Ambapo kwa mwerevu ukweli ukiwa wazi ni rahisi watu wakahamasika kutafuta ufumbuzi wa njia gani zifanyika ili hamasa ya kusoma iongezeke na kuonekana kwenye matokeo.
Tatizo la walimu kukataa mwenda kusini likijulikana litafutiwe ufumbuzi.pia mwitikio wa waalimu kwenda sehemu za kusini kufundisha pia ni changamoto sana maana mmhh unajiuliza kwann hawapendi kuja mtwara au klusini kwa ujumla huelewi
kule mwalimu ukimuadhibu mtoto, usiku unaipata fresh. Katika hili ninadhani kuwaelimisha watoto wao wenyewe na kuwapa ajira ya uwalimu huko itasaidia.sidhani kama hata huo muda wanao waliowengi na ukijumlisha na wanasiasa mmhhh sijui labda