Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

Japo sijui unaandika ukiwa wapi, ila hilo jambo kwa sasa ni historia tu na halipo. Siyo walimu tu Bali watumishi wanavutiwa sana kwenda kusini. Miundombinu ishakamilika. Kuna gari mpaka la saa 8 Mtwara Dar, ni full luxury buses. gari za mbeya Mtwara, songea mtwara, tanga Mtwara, Dodoma Mtwara. Sasa waogope Kuna nn?
Kuhusu walimu Mtwara Kuna vyuo 3 vya walimu ( SAUT, Mtwara TTC kawaida, Mtwara TTC Ufundi) na Cha nne Nachingwea TTC, Cha tano Matogolo TTC, Songea. Kwa Hawa kusoma kusini wakishapangwa kusini hawakatai kwani maZingira wanakuwa tayari wameyafahamu vizuri. hivyo shida ya walimu inatoka wapi

Mkuu kusini kuskie tu niliwai kufanya Kazi Ruangwa kwa Waziri mkuu na ilikua ni project 2018-2019 ya kuzunguka vijijini shule kwa shule, Na ofisi nyingine za Serikali kiukweli hapana yani sitaman kurudi kule kabisa.

Kwenda kufanya kazi uko ni kama kutupwa na kusahaurika kabisa kimaisha wilaya nzima ina kilometa 9 tu zenye Rami, Shule nyingi hazina waalimu uko vijijini na nyumba wanazoishi hazina huduma stahiki yani nimateso tu, walimu wanakaa mpk nguo zinapauka.

Maji ya shida nakumbuka pale mjini maji yalikua yanatoka mara 2-3 kwa wiki, sasa njoo kwenye huduma ya Chakula ndo utacheka nakumbuka nliwai zunguka wilaya nzima apo centre mpka mjini kutafuta mkate hakuna wanasubiri vitu vitoke Mtwara mjini au Masasi.

Huduma za Maradhi bado sana napo.
Pale ata nyumba za kulala wageni zenye hadhi azifiki ata 5 ukiacha aliyojenga waziri mkuu.
Njo kwenye hospital sasa ndo utachoka hospital ya wilaya hakuna ata mgahawa pale ndani wananchi wanabeba madumu na magunia plus masufuria wanakuja kupikia apo hospital yani ukikuta wamama wametandika kanga nje wamepumzika wengine wanapika unashindwa kujua hapa ni kambi ya wakimbizi au hospital.

Unasema usafiri ni kweli gari zipo nyingi zinaenda uko kusini lakini asilimia 95 ni zile zinaenda Mtwara, Masasi na Songea kwakua kuna Barabara za rami ila Ruangwa, Liwale,Tunduru asee utacheka kama pale Ruangwa basi zipo 3 tu zote zinatoka saa 12 ukichelewa apo ndo basi kuna SHIV,SB na nyingine mpya.
Safari za kwenda Lindi, Nachingwe na Masasi au Mtwara mjini ni kupanda Eicher na vicosta mwanzo mwisho na vinamuda wake mfano gari inayoenda Lindi mjini ziko mbili tu ukichelewa ya saa tatu ni saa saba ukimisi apo ndo bye bye mpaka kesho.

Afu bado kuna tabia za kishamba na uswahili mfano sijui vigoma wao wanaita sijui kucheza mtoto ana umri wa miaka 5-10 unaenda sijui kumuweka ndani kumfundisha Sijui Tabia na maswala ya unyumba ukataji wa mauno kwa wanaume unategemea akifikisha 16 atakuaje uyo na ndio maana kule umalaya ni mwingi plus HIV

Kusini hakuna kitu mzee nakwambia Ukweli na ndo jamii yakishamba kupata Ona kwanza wengi wao wavivu mfano pale Ruangwa wamwela niwavivy sana wanapenda majungu na umbea kukaa vijiweni wao wanataka flan anatembea na flan basi mpaka wanaume niwambea mtoto akifika darasa la saba anataman kua dereve wa pikipiki shule hapendi tena na akiwa dereva anajiona maisha ameyapatia sana, na Wazawa wakipata nafasi ya kusafiri maeneo mengine hawapendi kurudi kwao kabisa.

Zunguka bar, na miradi inayojengwa mingi pale sio wazawa wengi wao ni watu wa kuja mfano bar nyingi pale ni watu Wa Arusha, Moshi ndio miradi yao na wanatoa wahudumu pia uko ata vibarua wa ujenzi wanatoka mikoani wanaenda kule wazawa hawapendi kazi ngumu na wanataka wafanye kazi uwalipe mda huo huo habari za mwisho wa mwezi au kazi ya mda mrefu hataki.

Mfano Mwingine
Mbagala wale wamachinga usizan ile kazi wanaipenda hapana ila hawapendi tu kurudi kwao maana washafika mjini kule wanapazarau sana na kwasababu ya ufinyu wa elimu na Maendeleo ndio maana wameanza pia kupandikiza vijitabia vyao maeneo mengine now Mbagala nikwa wamakonde na watu wa kusini ni pure uswahili uswahili yani, Temeke, Buza, Chamazi, Mbande, Kisewe, Chanika nk

Nakumbuka kipindi naenda halmashauri nlikua nakutana na walimu wengi wanaomba kuhamishwa vituo tena unakuta mwalimu anatafuta mtu wa mkoa mwingine ahamie kule anakubaliana nae mpaka amlipie na Nauli na gharama nyingine wabadilishane tu vituo maana ilikua ni shida sana kule na ninakumbuka walimu wengi walikua wakisha ajiliwa wanakopa wanaacha kazi zao, waziri mkuu na Ded wakapitisha hakuna mtumishi wa Uma kubadili kutuo na hii ilikua inatokea mtu anawasili kituoni leo kesho anapanda gari kurudi mkoani kwake au anavumilia anakaa miezi sita after probation anakopa pesa ndefu anaacha kazi sasa lindi la wafanyakazi wengi kutaka hama na kuacha kazi Halmashauri ikapitisha hakuna kuhama kituo mpka ufate utaratibu sasa uo utaratibu utasota ata miaka saba hauami kabisa wanakusumbua tu.

Sehemu ya Pili ya project ilikua 2019-2020 mwanzoni asee nlienda Kilwa nkaichafua yote kuanzia kipatimu, kivinje, Masoko, kisiwani nlichoka kama pale kisiwani yani shule inawalimu 3 afu wamekaa kwenye mti wanapiga Soga wanafunzi ata 40 hawafiki ila nlipokua napita karibu na misikiti vijana na watoto wamejazana madrasa nkawa najiuliza jamii ya uku hawawezi balance maswala ya Dini na Elimu nyingine ?
Wazee unakuta wanacheza tu bao plus kunywa kahawa wao ni full soga tu na kuuliza flan leo hujakwenda madrasa kwa nini?

Nikamaliza apo nkahamia Liwale kukamilisha project napo nkakuta yale yale kama ya Ruangwa na Kilwa kwa ufupi Kusini bado sana kimaendeleo watoto hawapendi shule na hawana muemko kwasababu tu ya wazazi wao asilimia kubwa hawakwenda shule na ata ao wanaosema sijui mtwara imejitahid izo shule ni za private kama iyo Abbey niko na mdogo wangu anasoma apo na shule za uko nyingi ni vijana toka Dar ndo wameenda kusomea uko ila hawataman kabisa kubaki uko maana sio maendeleo wala muhemko wa biashara upo.
 
Ufanyike uchunguzi kwanini watoto wa Mtwara wana poor performance. Jibu likipatikana ifanyiwe mkakati wa kuinua elimu Mtwara. Kama ni kuanzisha madarasa ya Jumamosi nje ya syllabus. Serikali itenge fungu maalum la kuinua elimu Mtwara.

Hali ikiachwa hivi, hii jamii itakua imetengwa sana kimaendeleo. Ninakumbuka Nyerere alifanya mkakati wa kuwapeleka shule wa Irak mkoa wa Arusha enzi hizo. Vijana waliomaliza darasa la saba walipelekwa shule za sekondari za serikali. Wengine walikataa kwenda kwani walikua wameshaoa lakini walihakikishiwa mshahara wa kima cha chini kila mwezi kama allowance. Nyerere hakutaka ile jamii ije itengwe huko mbele.

Jamii ya walioelimika ni rahisi hata kupeleka maendeleo na wakayaendeleza. Watu wasio na elimu ni shida hata kufuata ushauri wa daktari wakiwa wagonjwa. Matokeo yake ugonjwa unachukua muda mrefu kupona na gharama kuongezeka.

Jamii inapokosa elimu ni rahisi kujikinga na matendo ya kihalifu, kwa kushawishiwa au kwa kuongeza kipato. Kwa kifupi kuwa na jamii iliyokosa elimu ni sawa na bomu linaweza kukipuka muda woeste.
... uko sahihi; no wonder IS "wameanzia" maeneo hayo! Ni hatari sana taifa kuwa na kundi fulani la wajinga.
 
... uko sahihi; no wonder IS "wameanzia" maeneo hayo! Ni hatari sana taifa kuwa na kundi fulani la wajinga.
Hawana cha kupoteza na kusipokua na mabadiliko vizazi vyao vitafuata nyayo.
 
Mkuu kusini kuskie tu niliwai kufanya Kazi Ruangwa kwa Waziri mkuu na ilikua ni project 2018-2019 ya kuzunguka vijijini shule kwa shule, Na ofisi nyingine za Serikali kiukweli hapana yani sitaman kurudi kule kabisa.

Kwenda kufanya kazi uko ni kama kutupwa na kusahaurika kabisa kimaisha wilaya nzima ina kilometa 9 tu zenye Rami, Shule nyingi hazina waalimu uko vijijini na nyumba wanazoishi hazina huduma stahiki yani nimateso tu, walimu wanakaa mpk nguo zinapauka.

Maji ya shida nakumbuka pale mjini maji yalikua yanatoka mara 2-3 kwa wiki, sasa njoo kwenye huduma ya Chakula ndo utacheka nakumbuka nliwai zunguka wilaya nzima apo centre mpka mjini kutafuta mkate hakuna wanasubiri vitu vitoke Mtwara mjini au Masasi.

Huduma za Maradhi bado sana napo.
Pale ata nyumba za kulala wageni zenye hadhi azifiki ata 5 ukiacha aliyojenga waziri mkuu.
Njo kwenye hospital sasa ndo utachoka hospital ya wilaya hakuna ata mgahawa pale ndani wananchi wanabeba madumu na magunia plus masufuria wanakuja kupikia apo hospital yani ukikuta wamama wametandika kanga nje wamepumzika wengine wanapika unashindwa kujua hapa ni kambi ya wakimbizi au hospital.

Unasema usafiri ni kweli gari zipo nyingi zinaenda uko kusini lakini asilimia 95 ni zile zinaenda Mtwara, Masasi na Songea kwakua kuna Barabara za rami ila Ruangwa, Liwale,Tunduru asee utacheka kama pale Ruangwa basi zipo 3 tu zote zinatoka saa 12 ukichelewa apo ndo basi kuna SHIV,SB na nyingine mpya.
Safari za kwenda Lindi, Nachingwe na Masasi au Mtwara mjini ni kupanda Eicher na vicosta mwanzo mwisho na vinamuda wake mfano gari inayoenda Lindi mjini ziko mbili tu ukichelewa ya saa tatu ni saa saba ukimisi apo ndo bye bye mpaka kesho.

Afu bado kuna tabia za kishamba na uswahili mfano sijui vigoma wao wanaita sijui kucheza mtoto ana umri wa miaka 5-10 unaenda sijui kumuweka ndani kumfundisha Sijui Tabia na maswala ya unyumba ukataji wa mauno kwa wanaume unategemea akifikisha 16 atakuaje uyo na ndio maana kule umalaya ni mwingi plus HIV

Kusini hakuna kitu mzee nakwambia Ukweli na ndo jamii yakishamba kupata Ona kwanza wengi wao wavivu mfano pale Ruangwa wamwela niwavivy sana wanapenda majungu na umbea kukaa vijiweni wao wanataka flan anatembea na flan basi mpaka wanaume niwambea mtoto akifika darasa la saba anataman kua dereve wa pikipiki shule hapendi tena na akiwa dereva anajiona maisha ameyapatia sana, na Wazawa wakipata nafasi ya kusafiri maeneo mengine hawapendi kurudi kwao kabisa.

Zunguka bar, na miradi inayojengwa mingi pale sio wazawa wengi wao ni watu wa kuja mfano bar nyingi pale ni watu Wa Arusha, Moshi ndio miradi yao na wanatoa wahudumu pia uko ata vibarua wa ujenzi wanatoka mikoani wanaenda kule wazawa hawapendi kazi ngumu na wanataka wafanye kazi uwalipe mda huo huo habari za mwisho wa mwezi au kazi ya mda mrefu hataki.

Mfano Mwingine
Mbagala wale wamachinga usizan ile kazi wanaioenda hapana ila hawapendi tu kurudi kwao maana washafika mjini kule wanapazarau sana na kwasababu ya ufinyu wa elimu na Maendeleo ndio maana wameanza pia kupandikiza vijitabia vyao maeneo mengine now Mbagala nikwa wamakonde na watu wa kusini ni pure uswahili uswahili yani, Temeke, Buza, Chamazi, Mbande, Kisewe, Chanika nk

Nakumbuka kipindi naenda halmashauri nlikua nakutana na walimu wengi wanaomba kuhamishwa vituo tena unakuta mwalimu anatafuta mtu wa mkoa mwingine ahamie kule anakubaliana nae mpaka amlipie na Nauli na gharama nyingine wabadilishane tu vituo maana ilikua ni shida sana kule na ninakumbuka walimu wengi walikua wakisha ajiliwa wanakopa wanaacha kazi zao, waziri mkuu na Ded wakapitisha hakuna mtumishi wa Uma kubadili kutuo.

Sehemu ya Pili ya project ilikua 2019-2020 mwanzoni asee nlienda Kilwa nkaichafua yote kuanzia kipatimu, kivinje, Masoko, kisiwani nlichoka kama pale kisiwani yani shule inawalimu 3 afu wamekaa kwenye mti wanapiga Soga wanafunzi ata 40 hawafiki ila nlipokua napita karibu na misikiti vijana na watoto wamejazana madrasa nkawa najiuliza jamii ya uku hawawezi balance maswala ya Dini na Elimu nyungine ?
Wazee unakuta wanacheza tu bao plus kunywa kahawa wao ni full soga tu na kuuliza flan leo hujakwenda madrasa kwa nini?

Nikamaliza apo nkahamia Liwale asee nlichoka yale yale kama ya Ruangwa na Kilwa kwa ufupi Kusini bado sana kimaendeleo watoto hawapendi shule na hawana muemko kwasababu tu ya wazazi wao asilimia kubwa hawakwenda shule na ata ao wanaosema sijui mtwara imejitahid izo shule ni za private kama iyo Abbey niko na mdogo wangu anasoma apo na shule za uko nyingi ni vijana toka Dar ndo wameenda kusomea uko ila hawataman kabisa kubaki uko maana sio maendeleo wala muhemko wa biashara upo.

Mkuu kwa wewe uliyeenda shule basi jitahidi uandike vizuri na maneno kwa ufasaha.
Kuandika maneno kama: huduma za maradhi,zarau,apo,rami na pia kuchanganya herufi kubwa katikati ya sentensi ni kutoitendea haki hiyo 'elimu' uliyonayo.

Halafu mkuu umesema hiyo shule ya Abbey ni ya 'private' kwani ile shule ya wasichana Mbeya ambayo imeongoza kitaifa ni ya serikali?.
 
Nafikili ungejikita kwenye mada maswala ya uhandishi sifikilii kama ni jambo kubwa sijasoma HKL mkuu so sijui sana kuandika ninachojua ni kufikisha ujumbe
 
Huwezi kuomba ubadilishwe/kubadilika mpaka pale kwanza wewe mwenyewe umebadili mwenendo Na tabia zako hapo ndipo itakuwa kazi nyepesi ya kukubadili. Vinginevyo itakuwa kazi ya kutwaga maji kwa kinu
 
Back
Top Bottom