Matokeo Uchaguzi Ufaransa Vs Afrika

Matokeo Uchaguzi Ufaransa Vs Afrika

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Ufaransa wamepiga Kura Leo, matokeo Leo Leo. Na mpinzani kakubali kushindwa Leo Leo.
2. Afrika Sasa! Matokeo baada ya siku 14 na upinzani wanadai wameibiwa.


**Tusubir kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake.
Leo francophone kote Ni full shangwe

THD3PNS6BEBA5SLDBE6MVA2INY.jpg


images (69).jpeg


20220426_172632.jpg
 

Attachments

  • 10000000_125906426605905_5378840917638045197_n.mp4
    13.9 MB
Afrika huwa kuna uchaguzi au uchafuzi?
Kuandikishwa tu kupiga kura ni kazi nzito, kuweza kuipiga hiyo kura ni mshike mshike, kupitishwa jina lako na tume ili uwe mgombea ni vita, kupiga kampeni ni mpaka uwe na connection na vyombo vya dola, kupata matokeo halisi ni hadithi zingine.

Kwa kifupi sana, suala la uchaguzi hapa Afrika, sisi ni wapumbavu, wapuuzi na wajinga wa mwisho.
 
Back
Top Bottom