Matokeo vyuoni ni dissaster

Matokeo vyuoni ni dissaster

bhikola

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,131
Reaction score
1,663
Another beautiful week!!
Elimu yetu inazidi kuporomoka sana hasa kwa shule za sekondari, watawala wameamua kufanya siasa katika elimu yetu, matokeo yake vijana wanaofika vyuo vikuu wanakuwa na uwezo mdogo sana katika kupambanua mambo, matokeo yake ni kuwapo kwa mass failures vyuoni.
Mzumbe University kwa mfano, wametoa matokeo ya semester ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/14. ukiona matokeo hayo yanatisha. Kwa mfano katika kozi BBA Marketing kulikuwa na wanafunzi 79, matokeo yake 11 tu ndo wamefaulu, na 14 wamedisco - discontinuation, waliobaki wamepata sup. Kwa upande wa postgraduate hali ni mbaya pia, hasa MBA na MSc Economics. Mpaka tunasikia watu wanajiua, ni ujinga lakini, never take aout lives.
Chuo cha madini DODOMA hali ni hiyo hiyo, matokeo yake nasikia wazazi na watoto wao wameandamana kushinikiza waliofeli waendelee na chuo. Thank God mpaka sasa msimamo wa chuo umekuwa ni wanafunzi hao kutoendelea maana hawanasifa. Ingawa katibu mkuu (Maswi) inasemekana anashinikiza warudi kwani anadai itakuwa ni skendo wizarani kwake (chuo cha madini kinasimamiwa na wizara ya nishati na madini) - another politics on education
Jamani watoto/wanafunzi someni, acheni kushinda fb, instergram and the like, wazazi na ndugu zenu mnawaumiza kwa ada na hela ya kujikimu, then unarudi umedisco so sad!
wanasiasa achenu kutrade na elimu ya sekondari, chuoni hayo makitu yenu hayapo, vinginevyo tuanze kuchimba makaburi kabisa maana watajinyonga wengi tu
ni hayo tu
 
education system yote inahitaji reform, si wanafunzi tu wameathirika na mfumo wa elimu, hata hao malecturers are part of a problem lazima tuseme ukweli pande zote. kama mfumo unasema mwenye matokeo haya ana uwezo wa kusoma na kufaulu kozi fulani na akadahiliwa kwa nini tena ionekane hakustahili na hana uwezo?matatizo yapo hata upande wa lecturers. wapo wanapanga kudisco sisha watu
 
Mkuu kama una ushahidi na evidence za kutosha on this you better take a step lakini kwa ninvyofahamu mimi utaratibu wa kupitisha matokeo ulivyo ni vigumu sana kumfelisha mwanafunzi. baada ya kufanya mtihani, mwl husika husahihisha, kisha mitihani hupelekwa kwa external markers, nye husahihisha. ikitokea mwanafunzi bado amefeli na hakurithika, anayo nafasi ya ku-appeal against results, hapo scrip yake husahihishwa tena na third mark. Jamani hao wote ambao kila mtu ni independent na hawafahamiani wakuonee wewe tu?
 
sikueleweka,nimesema tuangalie both sides,mfumo,wanafunzi na wakufunzi,lakini pia mtu akipanga kufelisha kuna njia ni nyingi,akitunga paper ngumu ya kufelisha atasahisha vyema lakini wengi mtihani utawashinda
 
Mbona hatusikii malalamiko kutoka vyuo vya kata kama SAUT,RUCo,ST.JOHN,MWENGE,ST.JOSEPH,TEKU? jibu ni kwamba shule rahisi WAHADHIRI wanaendeshwa naMANAGEMENT ya chuo wawape marks na miG.P.A mikubwa
 
ebhaana m ni moja wa wahanga wa mzumbe 1st year marketing. kwa kwel sio siri hiyo siri ya matokeo management inajuwa yenyewe. mtihani haukuwa mgumu wala nini ila fair. ila cha ajabu marketing ndio darasa lenye watu wachache saaana mzumbe ila wamezidi kutupunguza. mtihani tumefanya vizuri kabisa ila matokeo bhaana yamekujja kinyume mpka hivi sasa kuna badhi ya wenzangu hata simu hawa pokei tena wala hawaelweki wapo wapi. sup zimetolewa zakutosha siri
 
Mkuu hivi vyuo viko kibiashara zaidi, they are trading on expense of our education
 
Pole sana mdogo wangu, but its not the end of everything, other opportunities are out there
"when one door is closed, dont you know that many more are open" - Bob Marley, commin from the cold
 
Hahahaha eti Tumaini?? Hasa ya Dar, uliza wanaoasoma LLB pale watakuambia moto wake, ni shida kuliko unavofikiri
 
Pole sana mdogo wangu, but its not the end of everything, other opportunities are out there
"when one door is closed, dont you know that many more are open" - Bob Marley, commin from the cold

Thnkx mch bro but ndio hvyo am stil on for da fight wont give up inspite am so sad for da loss of some of my friends but hope we are all destined to somwhere guuud
 
Turudi kwenye mfumo wa type writer hii mifumo sijui tumeiga wapi BRN inazalisha makanjanja.
 
Mbona hatusikii malalamiko kutoka vyuo vya kata kama SAUT,RUCo,ST.JOHN,MWENGE,ST.JOSEPH,TEKU? jibu ni kwamba shule rahisi WAHADHIRI wanaendeshwa naMANAGEMENT ya chuo wawape marks na miG.P.A mikubwa

Na mwisho wa siku ndio anakufanyia operation ya kichwa badala ya mguu wewe uliyesoma Havard pale Muhimbili.
 
Back
Top Bottom