daah hii inaitwa karibu tena
hope ardhi university hatuna hii system ya ndugu zetu mzumbe.......maana daah hii thread imenikataa maini ukicheki tokeo letu halijatokaa.
daah noma kweli, mtu yupo likizo nw then tokeo limetoka umediscooo daah yaani yaani ndo likizo likizoforever mpaka next year ...!pole kwa wahanga wote
USHAURI KWA MZUMBE ACADEMIC AFFAIRS: tumieni matokeo ya semister zote mbili ku-judge continuity or discontinuity kwa mwanafunzi . wengine first year hio semister ya kwanza wanakuwa wageni na chuo.
hope ni 1st year apa aru,,kozi gani mkuu?