Matokeo vyuoni ni dissaster

Matokeo vyuoni ni dissaster

yaelekea ulikua na hamu sana ya kuvaa hzo tshirt nyeuc ila kutokana na kuchemsha form 6,ukaishia kwenda kusoma ualimu wa grade A...mzumbe wana utaratibu wao,saut wana utaratibu wao na udsm nao wana utaratibu wao..ungelijua hlo wala usingeleta ----- wako humu msengerema wewe.

hahahaha ndo maana nikakwambia tuheshimiane mkuu hata ukinitukana haita saidia na hunijui sikujui ila acha majigambo na ungenijua wala usingedhubutu kuandika hizo pumba zako. NAKUSAMEHE KWA VILE HUJAKUA UKIKUA UTAACHA!!!
 
hahahaha ndo maana nikakwambia tuheshimiane mkuu hata ukinitukana haita saidia na hunijui sikujui ila acha majigambo na ungenijua wala usingedhubutu kuandika hizo pumba zako. NAKUSAMEHE KWA VILE HUJAKUA UKIKUA UTAACHA!!!

huna lolote zaidi ya kuwa mwalimu wa nursery..
 
vijana acheni kukariri elimu bora haipatikani kwenye jina kubwa bali ni jinsi gani ww utaitafuta hiyo elimu bora, hata ukisoma chini ya mti utafanikiwa tuu uwapo una malengo. Wewe kisa upo cjui chuo gani chenye jina halafu usihudhurie lectures or seminars halafu ukifeli unadai oooh cie elimu yetu ngumu tunakamatwa,,that is what u have score my dear usijidanganye bwana. kiukweli hii elimu yetu cjui mzumbe cjuii udsm mtadisco tuuu kama hamtajua kilichowapeleka huko. Vijana amkeni na mtambue wajibu wenu la sivyo mtaishia kulia huku kwenye mitandao ya kijamii na mwisho wa siku ile kwenu.

well said mkuu nadhani umeyasoma mawazo yangu
 
yah,udsm huwa hakuna kudisco kwenye semister ya kwanza,mayb itokee mwanafunzi husika alidakwa na vibuti au hakufanya baadhi ya mitihani,hapo ndo itapelekea yeye kudisco bt ktk hali ya kawaida kwa udsm kudisco ni hadi semister ya pili ukiwa na gpa less than 2.

we acha hizo,ina maana hata ukifeli vipindi vyote unaendelea tu au ndo unajipa moyo???
 
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia UDSM unaweza ukafeli masomo yote (kama ni 7; unafeli yote 7) na bado ukaendelea na semester ya pili? is it??

swali zuri!!!,hawa jamaa wanajipa moyo tu!!!
 
hujakua wewe mimi sio level yako.upo udsm mwaka wa ngapi na course gani?? Nakuhitaji pm kama hutojali??

kama usingekua level yangu,unakimbilia PM kufanyaje?afu me huwa sibishani na walimu wa UPE..
 
kama usingekua level yangu,unakimbilia PM kufanyaje?afu me huwa sibishani na walimu wa UPE..kaa mbali na mie we msengerema.

kelele za nini kijana njoo pm na ujibu hayo maswali yangu.sio maneno ni action nataka nikuonyeshe walimu wa upe tunavyofanya kazi
 
dawa yako inachemka kijana utaingia king tu.hata uandishi wako unaonekana sio mwanafunzi wa udsm.mwanafunzi anayejielewa hawezi andika uchafu kama wako

sibishani na watu kama wewe..huniwezi kwa lolote.
 
time will tell ndugu

hakuna cha time wala nin,kwanza unatakiwa uone aibu,kwa mtu mzima kama wewe kuzozana na katoto kama mie..jiheshmu nawe utaheshimiwa,vinginevyo utabaki kulalama kila cku kuwa watoto wa siku hizi hawana adabu,kumbe we mwenyewe ndio hujiheshimu.
 
mzumbe haudisco kwa kuangalia G.P.A tu, ukipata supp 4 katika mwaka mmoja wa masomo, hvyo kama semista ya kwanz kuna masomo matano yanayosomwa hvyo ukilamba supp 4 huna haja kuendelea semista nyingne kwani unakuwa na supp 4 tayari,wewe unarudishwa maskani tena hata haucheleweshi na jina lako linawekwa pale NAH(sijui wamebadil jina) kuwa ume disco.


Asante
 
Another beautiful week!!
Elimu yetu inazidi kuporomoka sana hasa kwa shule za sekondari, watawala wameamua kufanya siasa katika elimu yetu, matokeo yake vijana wanaofika vyuo vikuu wanakuwa na uwezo mdogo sana katika kupambanua mambo, matokeo yake ni kuwapo kwa mass failures vyuoni.
Mzumbe University kwa mfano, wametoa matokeo ya semester ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/14. ukiona matokeo hayo yanatisha. Kwa mfano katika kozi BBA Marketing kulikuwa na wanafunzi 79, matokeo yake 11 tu ndo wamefaulu, na 14 wamedisco - discontinuation, waliobaki wamepata sup. Kwa upande wa postgraduate hali ni mbaya pia, hasa MBA na MSc Economics. Mpaka tunasikia watu wanajiua, ni ujinga lakini, never take aout lives.
Chuo cha madini DODOMA hali ni hiyo hiyo, matokeo yake nasikia wazazi na watoto wao wameandamana kushinikiza waliofeli waendelee na chuo. Thank God mpaka sasa msimamo wa chuo umekuwa ni wanafunzi hao kutoendelea maana hawanasifa. Ingawa katibu mkuu (Maswi) inasemekana anashinikiza warudi kwani anadai itakuwa ni skendo wizarani kwake (chuo madini kinasimamiwa na wizara ya nishati na madini) - another politics on education
Jamani watoto/wanafunzi someni, acheni kushinda fb, instergram cha like, wazazi na ndugu zenu mnawaumiza kwa ada na hela ya kujikimu, then unarudi umedisco so sad!
wanasiasa achenu kutrade na elimu ya sekondari, chuoni hayo makitu yenu hayapo, vinginevyo tuanze kuchimba makaburi kabisa maana watajinyonga wengi tu
ni hayo tu

Mzee embu fafanua mbona hauweleweki kwa mzumbe ni first year au second year??
 
Tatizo wasomi mnataka kuwa wengi wakati mimi baba yenu serikali sina pakuwaajiri.
 
ebhaana m ni moja wa wahanga wa mzumbe 1st year marketing. kwa kwel sio siri hiyo siri ya matokeo management inajuwa yenyewe. mtihani haukuwa mgumu wala nini ila fair. ila cha ajabu marketing ndio darasa lenye watu wachache saaana mzumbe ila wamezidi kutupunguza. mtihani tumefanya vizuri kabisa ila matokeo bhaana yamekujja kinyume mpka hivi sasa kuna badhi ya wenzangu hata simu hawa pokei tena wala hawaelweki wapo wapi. sup zimetolewa zakutosha siri

Kawaida ya MU 1st year lazima utikiswe ukikaa sawa mambo swadakta.
 
Mkuu ina maana wewe chuo ulichosoma (na assume umefika chuo) semester ya kwanza kama ulikuwa na masomo let say 8, ukifeli 7 ilikuwa unaendelea tu?

Kah hiki chuo cha namna hiyo ni burudani sup zote hzo bado unabaki chuo?!
 
daah hii inaitwa karibu tena

hope ardhi university hatuna hii system ya ndugu zetu mzumbe.......maana daah hii thread imenikataa maini ukicheki tokeo letu halijatokaa.


daah noma kweli, mtu yupo likizo nw then tokeo limetoka umediscooo daah yaani yaani ndo likizo likizoforever mpaka next year ...!pole kwa wahanga wote


USHAURI KWA MZUMBE ACADEMIC AFFAIRS: tumieni matokeo ya semister zote mbili ku-judge continuity or discontinuity kwa mwanafunzi . wengine first year hio semister ya kwanza wanakuwa wageni na chuo.

Wazo zuri, but i think labda itatokea baadae sana.
 
Wanafunzi wa sasa hivi ni balaa tupu, hawasomi kabisa.Heri ya wanafunzi walosoma shule za kata wanajitahidi kuliko hao waliosoma shule za English Medium. Nasema haya kwa ushahidi kabisa maana nipo katika eneo hili la ualimu.
 
ebu naomba nifafanue hapa mzumbe university units zinafanana namaanisha kuwa kila somo lina units 2 so ukifeli masomo 4 kwenu ila vyuo vingne units za masomo ni tofauti somo moja linaweza kua na units 2 lingine1 lingine 3 kwa hiyo mfumo huu ili udisco lazima ufanye masomo yote ya semister mbili hlf watafute jumla ya units kama ukufikisha units fulani wanazozitaka ndio udisco ivyo huwezi kudisco kwa masomo ya semister moja

mfumo huko hivii. Wanachoangalia ni kwamba corse work na ue unazaidi za 40/100 iwapo moja wapo ukateleza una sup hko kigezo cha kingine kila somo average yake iwe kuanzia 40/100 kuendelea yaan C and above. Na tatu gpa inakuwa calculated in every semister ya mwaka mzima inakuwa ni average gpa. Na lingine unaruhusiwa kuwa na sup hadi 3 kwa semister sio kwa mwaka, inamaanisha unaruhusiwa kukomboa masomo ma 3 tu kwa mwaka kama tu ukapata sup ya 4 au 4 kwa kipindi chochote you are disqualify. Ni mfumo wa chuo na kila chuo unamfumo wake.
 
Back
Top Bottom