Vodka
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 906
- 96
kuna masomo matano katika kila kozi isipokuwa sheria na education, katika masoma matano ukipata supp masomo manne yaani ukipata chini ya 50% wewe ni kwa heri ya kuonana au kama semister ya kwanza ukapata supp 2, na semister ya pili ukapata tena 2 jumla 4 pia unadisco. Hapo suala ni kupata supp 4 katika mwaka mmoja wa masomo. Sijajua kama utaratibu huu umebadilika lakini mpaka tuliomaliza mwaka jana ulikuwa unatumika.
wamebadili kidogo sasa hvi kila nusu ya mwaka unapimwa