Matokeo vyuoni ni dissaster

Matokeo vyuoni ni dissaster

kuna masomo matano katika kila kozi isipokuwa sheria na education, katika masoma matano ukipata supp masomo manne yaani ukipata chini ya 50% wewe ni kwa heri ya kuonana au kama semister ya kwanza ukapata supp 2, na semister ya pili ukapata tena 2 jumla 4 pia unadisco. Hapo suala ni kupata supp 4 katika mwaka mmoja wa masomo. Sijajua kama utaratibu huu umebadilika lakini mpaka tuliomaliza mwaka jana ulikuwa unatumika.

wamebadili kidogo sasa hvi kila nusu ya mwaka unapimwa
 
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia UDSM unaweza ukafeli masomo yote (kama ni 7; unafeli yote 7) na bado ukaendelea na semester ya pili? is it??
ardhi inawezekana ..cjajua udsm but nao wana tathmini kwa mwaka not semester
 
Tunashukuru sisi wengne tuliopitia matriculation ya wakti huo,uclas, Muhas wote walikuwa UDSM
 
ebu naomba nifafanue hapa mzumbe university units zinafanana namaanisha kuwa kila somo lina units 2 so ukifeli masomo 4 kwenu ila vyuo vingne units za masomo ni tofauti somo moja linaweza kua na units 2 lingine1 lingine 3 kwa hiyo mfumo huu ili udisco lazima ufanye masomo yote ya semister mbili hlf watafute jumla ya units kama ukufikisha units fulani wanazozitaka ndio udisco ivyo huwezi kudisco kwa masomo ya semister moja

Mzumbe kila somo lina units zake. Kuna 2, kuna 3.
No matter the units....ukiingiza sup 4 umedisco.
Ukiwa na incomplete hata ya assignment umedisco.
Tumeshajizoelea wengine ndo tunamalizia semester ya mwisho ya masomo ya degree
 
kuna masomo matano katika kila kozi isipokuwa sheria na education, katika masoma matano ukipata supp masomo manne yaani ukipata chini ya 50% wewe ni kwa heri ya kuonana au kama semister ya kwanza ukapata supp 2, na semister ya pili ukapata tena 2 jumla 4 pia unadisco. Hapo suala ni kupata supp 4 katika mwaka mmoja wa masomo. Sijajua kama utaratibu huu umebadilika lakini mpaka tuliomaliza mwaka jana ulikuwa unatumika.

Sasa hivi sio kwa mwaka mmoja wa masomo tu. Mfano mwaka huu jumla ukawa na sup 3. Mwakani ukiingiza kimoja tu inafanya jumla kuwa nne. Umedisco
 
Mfumo wa ku disco chuo kikuu cha DSM ukitaka kuufahamu unaweza soma kwenye prospectus na ukafahamu taratibu. Si lazima wafanane na vyuo vingine ila Kwa kuwa walianza wao, waliofuatia kuwa na utaratibu wao pia ilikuwa sahihi. Siyo ku-copy na ku-paste kila taratibu za UDSM.
 
Back
Top Bottom