daah hii inaitwa karibu tena
hope ardhi university hatuna hii system ya ndugu zetu mzumbe.......maana daah hii thread imenikataa maini ukicheki tokeo letu halijatokaa.
daah noma kweli, mtu yupo likizo nw then tokeo limetoka umediscooo daah yaani yaani ndo likizo likizoforever mpaka next year ...!pole kwa wahanga wote
USHAURI KWA MZUMBE ACADEMIC AFFAIRS: tumieni matokeo ya semister zote mbili ku-judge continuity or discontinuity kwa mwanafunzi . wengine first year hio semister ya kwanza wanakuwa wageni na chuo.
Mkuu ni kwamba Mzumbe unaweza disco kwa semister 1 coz ukifel kuanzia masomo 4 imekula kwakoMnisaidie mie jamani nadhani matokeo yanayotolewa sasa ni kwa muhula mmoja tu bado wa pili, sasa nikiambiwa mtu amedisco kwa semester moja nasita kidogo kuelewa maana mkusanyiko wa masomo na overall GPA bado!!!
Me cjaelewa,ina maana mzumbe wanafunzi huwa wanadisco kwa matokeo ya semister ya kwanza au utaratibu wao ni tofauti na wa vyuo kama udsm na sua?
Mnisaidie mie jamani nadhani matokeo yanayotolewa sasa ni kwa muhula mmoja tu bado wa pili, sasa nikiambiwa mtu amedisco kwa semester moja nasita kidogo kuelewa maana mkusanyiko wa masomo na overall GPA bado!!!
daah hii inaitwa karibu tena
hope ardhi university hatuna hii system ya ndugu zetu mzumbe.......maana daah hii thread imenikataa maini ukicheki tokeo letu halijatokaa.
daah noma kweli, mtu yupo likizo nw then tokeo limetoka umediscooo daah yaani yaani ndo likizo likizoforever mpaka next year ...!pole kwa wahanga wote
USHAURI KWA MZUMBE ACADEMIC AFFAIRS: tumieni matokeo ya semister zote mbili ku-judge continuity or discontinuity kwa mwanafunzi . wengine first year hio semister ya kwanza wanakuwa wageni na chuo.
someni acheni kuigiza maisha vyuoni
hakuna kitu kama hicho mzumbe ,we mtu anasoma masomo matano then yote anapata supp harafu aruhusiwe kwenda mbele, kila chuo na utaratibu wake na ndio maana kuna chuo kina Main campus mwanza wao huwa hawadisco, utarudia miaka wewe mpaka utaamua ukajipumzishe home kama unaendelea kufeli.
acha u.s.e.n.g.e wewe..vyuo vingine gpa inakuwa calculated per year n not semester....mfano ARDHI UNIVERSITY n udsm nao wana iyo system...so usi generalize kuwa kisa wengine hawajudge per semester basi vyote ni kata...kwanza we umesoma wapi chuo(kama ulifanikiwa kufika)mkuu??
mkuu kwani udsm uwezi uka dsco kwa matokeo ya semister moja?...let say first year first semister huwa hawa dsco?...
nimesoma UOA(UNIVERSITY OF ARUSHA).
yah,udsm huwa hakuna kudisco kwenye semister ya kwanza,mayb itokee mwanafunzi husika alidakwa na vibuti au hakufanya baadhi ya mitihani,hapo ndo itapelekea yeye kudisco bt ktk hali ya kawaida kwa udsm kudisco ni hadi semister ya pili ukiwa na gpa less than 2.
mkuu vyuo vingi ka ARDHI..UDSM nk wanacalculate gpa wa wanaevaluate uwezo wa wanafunzi per year na si semester..so ni utaratibu wa kawaida na ndio common zaidi kwny vyuo vingi tz
yah,udsm huwa hakuna kudisco kwenye semister ya kwanza,mayb itokee mwanafunzi husika alidakwa na vibuti au hakufanya baadhi ya mitihani,hapo ndo itapelekea yeye kudisco bt ktk hali ya kawaida kwa udsm kudisco ni hadi semister ya pili ukiwa na gpa less than 2.
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia UDSM unaweza ukafeli masomo yote (kama ni 7; unafeli yote 7) na bado ukaendelea na semester ya pili? is it??
mzumbe haudisco kwa kuangalia G.P.A tu, ukipata supp 4 katika mwaka mmoja wa masomo, hvyo kama semista ya kwanz kuna masomo matano yanayosomwa hvyo ukilamba supp 4 huna haja kuendelea semista nyingne kwani unakuwa na supp 4 tayari,wewe unarudishwa maskani tena hata haucheleweshi na jina lako linawekwa pale NAH(sijui wamebadil jina) kuwa ume disco.
ndo maana mnajifanya mnaakili sana kumbe vilaza tu inatakiwa waangalie na sup pia sio gpa tu nadhan udsm mkiwekewa sup mtakwisha wote na pale coet ndo kabisaa ikifuatiwa na wale wanaovaa tshirt nyeusi zimeandikwa hr managerz hahahaha aka udbs