Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Nimekukubali Mkuu uchambuzi makini sana huu!
 
Sikubaliani nawe kwamba pesa ndio ushindi,si kila nyakati hiwa hivyo
Leicester city amechukua ubingwa mbele ya wenye mapesa mengi pale England
Sasa hv man u,man city na chelsea pamoja na kuwa na mapesa yao lkb wanachezea mara kwa mara
Madrid anahustle Spain na mapesa yake
PSG na mapesa yake lkn kila siku anaishia robo fainali uefa
By the way mtu akikusoma btn the lines anajua kuwa ww ni shabiki wa msimbazi police center, usihofu blaza
 
Senario Kama ya Leicester city hutokea Mara chache Sana kwenye football ila uwekezaji wa pesa Ni kila kitu. Kumbuka mwaka juzi Monaco alikuwa bingwa was ufaransa lakini sasahivi anapambana asifushuke daraja, PSG na pesa zake kabaki anatamba
 
Jumamosi uko na Mbeya city
Unamjua eliud Ambokile? Anakusubiri
Mkuu una moyo wa chuma, bado unaamini ulichoanzisha hapa jukwaani

Tangu uanzishe haka kauzi, mikia mmeshapoteza game ngapi na Yanga amepoteza ngapi?

Kati hizo timu mbili nani anayetegemea upepo kupata matokeo?
 
Simba anaviporo vingi na ndio tofauti iliyopo Hadi Sasa Simba akishinda viporo tofauti inabaki ile ile ya points 5
 
Simba anaviporo vingi na ndio tofauti iliyopo Hadi Sasa Simba akishinda viporo tofauti inabaki ile ile ya points 5
Swali ni kwamba atashinda hizo mechi?

Maana Mashujaa ni timu ya daraja la kwanza imewapiga

Mna uhakika gani mtawafunga timu za ligi kuu kama biashara na nyingine, ili hivo viporo visichache?

BACK TO THE POINT

Timu gani inayoshinda kwa upepo kati ile ambayo haijafungwa tangu uanzishe Uzi na ile ambayo imepoteza mechi tatu tangu uanzishe Uzi? Jibu swali mkuu
 
Simba siku zote viporo anavika Bila shida hapo usiwe na Shaka
Yanga Bado anashinda kwa mazabe kwa kikosi kile Cha kupitisha bakuli
 
Simba siku zote viporo anavika Bila shida hapo usiwe na Shaka
Yanga Bado anashinda kwa mazabe kwa kikosi kile Cha kupitisha bakuli
Mechi za Shirikisho zilishachezwa na timu nyingine, wewe kwako ilikuwa ni kiporo.....

Vipi nyie mikia ambao mnakula viporo bila shida, kiporo cha Mashujaa shida ilitoka wapi?

Kuhusu bakuli mkuu, imagine tungekuwa hatupitishi bakuli, sasa hivi tungekuwa wapi? Wewe timu yako isiyopitisha bakuli mbona imechapwa na Mashujaa a.k.a Shin'gwaa?

Halafu usikute wewe unayeponda wenzako bakuli, hata Christmas uligongea bia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

BACK TO THE MAIN QUESTION

Kati ya timu iliyopigwa mechi zaidi ya 4 msimu huu, na timu ambayo haijapoteza mchezo, ipi inashinda kwa upepo? Mkuu kwanini hili swali hutaki kujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…