Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Mimi siyo shabiki wa simba wala yanga lakini ninauona ukweli unaoendelea kati ya simba na yanga;

KWA YANGA
Kiukweli timu inafanya kazi ktk mazingira magumu sana ya kuyumba kiuchumi tangia mwenyekiti wao tajiri aingie ktk misuko suko ya kumalizwa kiuchumi.
Licha ya hali hiyo, wachezaji na kocha wamekuwa wakijituma kuhakikisha wanafanya vizuri hata kama wakishinda njaa,,, basi wananitahidi wanapata ushindi na kwa huo uzalendo nawapongeza. Ukiangalia mechi ya jana yanga walivyokuwa wakicheza wanaanguka anguka kama mateso waliyopata kwenye ile ligi ya sport pesa basi utaamini kuwa wanafanya kazi ktk hali ngumu sana, pengne mshahara mdogo, usiopatkana kwa wakati, chakula dhaifu kisicho patikana kwa wakati nk. Ukiangalia Jana makambo, ngasa, veissa salum na wengne vgingi wa timu kuwaangusha tu ilikuwa kugusa, so itoshe tu kusema inatosha na kazi tuiachie management ili kuboresha hali ya kiuchumi na pia washukuliwe TFF kwa kuwapa timu nyingi mchezee nyumbani vinginevyo nafasi ya alliance ingekuwa ya jangwani.

KWA SIMBA
Nianze kusema tu kwamba mwenzako akinyolewa zako tia tia maji.... Naendelea...
Kwanza niwaombe tu mzidi kuomba mungu MO D awe salama na asisumbuliwe ktk mambo yake kwakuwa akikwama tu basi mjue mtakuwa mmeanguka na kifo chenu kitakuwa cha kishindo.
Ikumbukwe mmefanya usajili wa wachezaji wageni wasio na uzalendo kwa timu kuanzia wawa, kagere, salamba, chama, salamba, na hao mnaotamba nao.. Mkiyumba tu mjue hao wote watayumbia pengine na si ajabu wakatimkia chamazi au jangwani, kama watakuwa wameshakuwa sawa kiuchumi.. Maana mnaishi maisha ya visasi kama vile ligi yote ni simba na yanga tu mnasahau kuwa ligi ni ya vilabu 20 na kila kilabu ina haki ya kuchukua ubingwa.
Na niwashauri tu mjipe moyo kwa sasa licha ya utajiri mlionao lakini mpunguze kuwaza kuchukua ushindi msimu huu kwakuwa mkizidi kuwaza ushindi msimu huu mjue mtazidi kuchuma dhambi za bure kufanya mfanyayo kuhakikisha eti yanga itoke sare , azam itoke sare na nyie mshinde tu.

Mwisho nimalize kwa kusema kuwa "Hapa duniani ushindi ni pesa na pesa ndo ushindi "

Mungu bariki Mpira wa Tanzania ila tumechoka usimba na uyanga maana unaua mpira wa timu ya taifa.
Nimekukubali Mkuu uchambuzi makini sana huu!
 
Sikubaliani nawe kwamba pesa ndio ushindi,si kila nyakati hiwa hivyo
Leicester city amechukua ubingwa mbele ya wenye mapesa mengi pale England
Sasa hv man u,man city na chelsea pamoja na kuwa na mapesa yao lkb wanachezea mara kwa mara
Madrid anahustle Spain na mapesa yake
PSG na mapesa yake lkn kila siku anaishia robo fainali uefa
By the way mtu akikusoma btn the lines anajua kuwa ww ni shabiki wa msimbazi police center, usihofu blaza
 
Senario Kama ya Leicester city hutokea Mara chache Sana kwenye football ila uwekezaji wa pesa Ni kila kitu. Kumbuka mwaka juzi Monaco alikuwa bingwa was ufaransa lakini sasahivi anapambana asifushuke daraja, PSG na pesa zake kabaki anatamba
 
Nini Maana ya ambokile kwa lugha yenu??
Jumamosi uko na Mbeya city
Unamjua eliud Ambokile? Anakusubiri
 
Jumamosi uko na Mbeya city
Unamjua eliud Ambokile? Anakusubiri
Mkuu una moyo wa chuma, bado unaamini ulichoanzisha hapa jukwaani

Tangu uanzishe haka kauzi, mikia mmeshapoteza game ngapi na Yanga amepoteza ngapi?

Kati hizo timu mbili nani anayetegemea upepo kupata matokeo?
 
Simba anaviporo vingi na ndio tofauti iliyopo Hadi Sasa Simba akishinda viporo tofauti inabaki ile ile ya points 5
 
Swali ni kwamba atashinda hizo mechi?

Maana Mashujaa ni timu ya daraja la kwanza imewapiga

Mna uhakika gani mtawafunga timu za ligi kuu kama biashara na nyingine, ili hivo viporo visichache?

BACK TO THE POINT

Timu gani inayoshinda kwa upepo kati ile ambayo haijafungwa tangu uanzishe Uzi na ile ambayo imepoteza mechi tatu tangu uanzishe Uzi? Jibu swali mkuu
 
Simba siku zote viporo anavika Bila shida hapo usiwe na Shaka
Yanga Bado anashinda kwa mazabe kwa kikosi kile Cha kupitisha bakuli
 
Mechi za Shirikisho zilishachezwa na timu nyingine, wewe kwako ilikuwa ni kiporo.....

Vipi nyie mikia ambao mnakula viporo bila shida, kiporo cha Mashujaa shida ilitoka wapi?

Kuhusu bakuli mkuu, imagine tungekuwa hatupitishi bakuli, sasa hivi tungekuwa wapi? Wewe timu yako isiyopitisha bakuli mbona imechapwa na Mashujaa a.k.a Shin'gwaa?

Halafu usikute wewe unayeponda wenzako bakuli, hata Christmas uligongea bia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

BACK TO THE MAIN QUESTION

Kati ya timu iliyopigwa mechi zaidi ya 4 msimu huu, na timu ambayo haijapoteza mchezo, ipi inashinda kwa upepo? Mkuu kwanini hili swali hutaki kujibu?
 
Back
Top Bottom