Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Mkuu jaribu kuheshimu professional za watu. Hata Roma haikujengwa siku moja. Matokeo unayoyaona sasa ni kazi nzuri ya Camarade Mwinyi Zahera. Ameondoa U father kwenye timu kiasi kwamba kila mchezaji anajiona anaweza. Kabla ya ya ujio wa Zahera uliwaona watoto kama Paul Godfrey, Gwamaka Edward, Shaibu (Ninja) na Kabwili (kutaja wachache) wakiwa na viwango walivyonavyo kipindi hiki? Soon Timu fulani yenye kuua vipaji vya wachezaji itaanza kuwataka. Na wakienda huko hawatacheza kama walivyo Yanga sasa.Very soon mta experience the difference
Ila msije tu mkashikiana mapanga pale jangwani
Ndo huwa mnasema hivyo kushtuka chaliiLigi bado Sana mkuu ndo kwanza round ya 13 Kati ya 38 hata nusu bado
Sisi tunasonga mbele tu.Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
Soon utaelewa ninachosemaAcha umavi wa matakoni kwako wewe na uroho uliotukuka, kama upepo na nyie so muuite huko kwenu ili mshinde...
Eti timu inakikosi kibaya marudufu, basi hichohicho kikosi kibaya ndo kinachoshinda kila mechi na hutoweza kuamini pindi tutakapobeba kombe.. Mpambane tu na hali yenu..
Sie ni mdogomdogo wala hatutumii nguvuu..
PESA HATUNA,
TUNANJAA,
OMBAOMBA,
KAMBINI TUNAKULAGA MAKANDE,
Ila tunashinda...
Muda ndo huu mkuu,we endelea kusubilia ss tunasongaMkuu muda utaongea jus wait
Atavitumia pia hata baada ya mechi ya mbabane swallowsMkuu, hivo vidonge vyote mnyama atavimaliza??, ni homa ya Lipuli au??
Ni kweli , lakini sisi na timu yetu(yanga) ndio tunasogea mbele ujue
Yanga ya nchi gani?Mkuu Simba waneingiaje hapa, Mimi Yanga damu
Wadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sioH upepo tenaHuu upepo unatokea kwa Yanga tu na si tim nyingine ligi kuu?
View attachment 946088
Rage amesema hadi amechoka mwenyewe. Timu ya kufuata mkumbo ya Haji ni majanga makubwa.Sifa kubwa ya kuwa mshabiki wa timu inayojiita yenye Kikosi kipana lazima uwe na ubongo wa Kuku