Jason Statham2
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 694
- 1,013
Jipe moyo tu wenzio wanakusanya point mdogo mdogo hamadi ubingwa huoWadau wengi wa soka wamekuwa kwakishangaa timu ya Yanga kupata matokeo mazuri ligi kuu huku bado haijafungwa mchezo wowote licha ya kukweli kwamba wanna kikiosi kibovu Sana
Kwenye mpira tunaita upepo mzuri huwa ni kipindi Cha mpito yaani Kila kitu unachofanya ni sahihi yaani hata msipofunga wapinzani watajifunga.
Naona mashabiki was Yanga wanampa sifa kibao kocha Mwinyi Zahera ila mtakuja kumkataa mbeleni huko hili BOOM likiisha
Kila mtu atashinda kwa uwezo wake sio upepo tena
View attachment 946088
Ubingwa?[emoji44][emoji44]amka mkuu kumekuchaNimeipenda Yanga jinsi inavyo cheza kwa mipango mulua ya kupata ushindi.
Hakika Yanga wanaelekea kuchukua kombe la TPL.
Kocha Zahera ni kocha mwenye mbinu nyingi za ushindi.
Simba bakini na ushindi wa matumaini.
hakuna kitu kinaitwa upepo mkuu, ni mipango nidhamu na malengo huo upepo unachagua timu.Ni kawaida kwenye soka ni Kama Monaco wanavyopitia upepo mbaya kwa sasa
Hapo kwa IQ ya ya kawaida ya binadamu hawezi kukujibu. Labda aamue kudanganya.hakuna kitu kinaitwa upepo mkuu, ni mipango nidhamu na malengo huo upepo unachagua timu.
ko sasa ivi yanga(yenye upepo mzuri) akicheza na monaco(yenye upepo mbaya) yanga anashinda
Yanga wana Fighting Spirit ya hali ya juu sana.Ni kawaida kwenye soka ni Kama Monaco wanavyopitia upepo mbaya kwa sasa
Umechagua level tofauti mkuu huweza fananisha.hakuna kitu kinaitwa upepo mkuu, ni mipango nidhamu na malengo huo upepo unachagua timu.
ko sasa ivi yanga(yenye upepo mzuri) akicheza na monaco(yenye upepo mbaya) yanga anashinda
mkuu yanga iko vzr wala si upepo, sema tu kindoki ndo anazinguaUmechagua level tofauti mkuu huweza fananisha.
Hapa nazungumzia ligi ya Tanzania.
Hata Chelsea ilishawahi maliza 5 ligi kuu lakini ikatwaa Uefa champions league
Na usipokata je!!Mkuu huu upepo ukikata sijui mtajificha wapi
[emoji1787][emoji1787]kindoki uwezo wake no mdogo mno mbaya zaidi nafasi anayocheza haitakiwi kufanya makosa Bora straika hata akose magoli kumi lawama zake sio Kama kipa akifanya mistake mojamkuu yanga iko vzr wala si upepo, sema tu kindoki ndo anazingua
Mie ni Simba ila naona ubingwa unaenda kama sio Azam basi ni Yanga. Timu yangu haina consistency, kocha bado hayupo serious na kutafuta ubingwa hata sub zake zinadhihirisha hivyo.Jipe moyo tu wenzio wanakusanya point mdogo mdogo hamadi ubingwa huo
Yanga wana Fighting Spirit ya hali ya juu sana.
Wakiendelea nayo ubingwa ni lazima.
Siipendi Yanga lakini naipongeza kwa kiwango kizuri walichokionesha hadi sasa.
Mie ni Simba ila naona ubingwa unaenda kama sio Azam basi ni Yanga. Timu yangu haina consistency, kocha bado hayupo serious na kutafuta ubingwa hata sub zake zinadhihirisha hivyo.
Masoud alikuwa na consistency ndio maana alichukua ubingwa.
Kipindi yanga wanacheza mechi za uwanja wa nyumbani anashida mlisema subiri aanze mechi za away na sasa ameanza kwa kutembeza kichapo ķwa timu za mikoani mnaanza kusema ni upepo kwani nyie huo upepo timu yenu haiutaki?. Hakika nyie ni mbumbumbu fc