Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

Sawa arsenal mabingwa. Anzeni kuchapa tisheti za ubingwa.
 
Arsenal bana ! Yaani kakaa tu top jana .Mtaa una kelele , wenzako tokea mwaka jana af hawaringi.
 
Jamani jiwaambie maajabu.

Mexhi za hawa asernal? Liverpool? Man City wala watazamaji duniani hawahangaiji sana.

Kwanini record zinamtaja man utd kutazamwa kwa vituo vingi duniani?

Screenshot_20240310_225952_Chrome~2.jpg

Hapa nani ataingia top 4
 
Arsenal ana mechi ngumu tati chelsea Emirates pale,man UTD OT,na mancity Etihad!

Nampa maximum point 4 kati ya tisa!!yaani Arsenal anafungwa na man city ,anashinda Moja kati ya Chelsea au man UTD halafu Moja ana droo!!
 
Arsenal kushinda OT sahau ilo mzee rekodi zinambeba United
 
Hakuna timu yenye fixture nyepesi kwenye hao top 3…awe city,livarpool wala arseanal wote fixture imebana..atakaechanga karata zake vema annyanyua kwapa
 
yule mtoto mjapanan ni football brain ni Viungo wachache sana wanauwezo kama yule dogo
Kwakweli nikifaa cha siku zijazo ktk tasnia ya mpira, jana nimejifunza ktk mechi ya jana Mpira sio lelemama ni uwekezaji wa hali ya juu sana na matayarisho sio ya waganga bali ni miundo mbinu na kuwajenga wachezaji kuelewa majikumu yao ni nini uwanjani na nnje ya uwanja.
 
Back
Top Bottom