Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Japo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja.
Mimi ni huyo number 57 hapo nimepata 91% but NOT SELECTED
Tuzidi kukaza wadau, better days are coming.
 
Attachments

Duh polen Sana vijana wenzang msio na ajira za uhakika Mungu ata bless tu kwa kuwa tuliopo kwenye nafasi muda wowote tunaziacha na wakuzichukua ni nyie sioni mwingine
 
Kazi kweli kweli
Kwa hiyo huyo aliyepata 5% nae alitaka kuwa admission officer kabisa?
Mitihani hii ya utumishi ina mambo mengi sana.kuna jamaa tulikua nae jana akawa ananiambia katoka nyumbani fresh tu ila alivyoanza kupiga ile paper tu kichwa kikaanza kumuuma ghafla.so hakumaliza kujibu maswali yote 30.so sio kwamba watu hawana uwezo kama udhaniavyo
 
Japo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja.
Mimi ni huyo number 57 hapo nimepata 91% but NOT SELECTED
Tuzidi kukaza wadau, better days are coming.
Tuendelee kukaza buti

Kuna oral yeyote umewahi. Fika?
 
Ni Kukaza Na Kukazana Zaidi Katika Hii Mikimbio Ya Kimaisha,,,Hakuna Namna....
 
Haya mambo mi sina hamu kabisa mana nilianza kuomba toka 2014 adi leo hii sijawahi kupata,kuna kipindi walipokua wanapangia tu watu bila interview wakasema wanaangalia walomaliza miaka ya nyuma cha kushangaza unakuta wengi wa 2020,2021 na sie wa 2013 tunaachwa!
Mkuu jipe moyo ila mambo haya huwa hayasomeki kabisa labda utafute mtu akushike mkono!
 
Kupangia bila interview
lini hiyo mkuu?

Au unaongelea kada za elimu nz afya
Ila hizi zingine haijawahi kutokea kupangwa bila interview
 
Back
Top Bottom