Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

Matokeo ya admission officer ii utumishi yametoka

Soma jiandae hasa mitihan ya kada yako huku kwingine hakueleweki
 
Japo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja.
Mimi ni huyo number 57 hapo nimepata 91% but NOT SELECTED
Tuzidi kukaza wadau, better days are coming.
Ungepata 20% ungeonyesha hivi ..mantiki ya wewe kujionesha hivi ni nini
 
Back
Top Bottom