uwezo ganilkn naamini uwezo ninao...
Mitihani hii ya utumishi ina mambo mengi sana.kuna jamaa tulikua nae jana akawa ananiambia katoka nyumbani fresh tu ila alivyoanza kupiga ile paper tu kichwa kikaanza kumuuma ghafla.so hakumaliza kujibu maswali yote 30.so sio kwamba watu hawana uwezo kama udhaniavyoKazi kweli kweli
Kwa hiyo huyo aliyepata 5% nae alitaka kuwa admission officer kabisa?
Tuendelee kukaza butiJapo sijachaguliwa kwa kuendelea na hatua inayofuata kwa sababu ya uchache wa watu wanaohitajika,lkn naamini uwezo ninao...ni suala la muda tu,huenda mambo yakakaa sawa siku moja.
Mimi ni huyo number 57 hapo nimepata 91% but NOT SELECTED
Tuzidi kukaza wadau, better days are coming.
Nimecheka nilipoona Kuna mwamba kapiga zake 5 na mwingine 11Kazi kweli kweli
Kwa hiyo huyo aliyepata 5% nae alitaka kuwa admission officer kabisa?
Haya mambo mi sina hamu kabisa mana nilianza kuomba toka 2014 adi leo hii sijawahi kupata,kuna kipindi walipokua wanapangia tu watu bila interview wakasema wanaangalia walomaliza miaka ya nyuma cha kushangaza unakuta wengi wa 2020,2021 na sie wa 2013 tunaachwa!
Mkuu jipe moyo ila mambo haya huwa hayasomeki kabisa labda utafute mtu akushike mkono!