enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Unatoa maelezo ya kueleweka ila naona ma CO wanakaza shingo.Ni sawa na kusema bruda aitwe padre kwa sababu anachapa kazi vizuri. Au mchanganya zege aitwe engineer kwa sababu anachapa kazi sana. Wengi wanaomfananisha CO na MD, mara nyingi ni CO wenyewe kwa sababu hawajui MD kasoma nini.