Shida ipo hawa wenzetu wenye elimu kubwa kushinda wenzao ndio wanaoleta chuki mpaka kuleta matabaka.....
Kwamba Co sio daktar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa sijui wanataka waitweje jamani mwee!!! watoe jina basi!!! hawajui!..... Madaraja haya yapo kwa kada zoote za elimu! ( kusema eti mtoto wa darsa la kwanza siyo student, bali ni mwanafunzi tu!! its primitive nonsense),
anaepinga hii, analitamani hili jina la Dr, au alilipata kwa taabu sana! kulifikia! km zilee za kudisco mfululizo! jamanie ni hivi huko Medicine bwana inatesa vilaza sana! tena kuliko unavoweza kufikiria!
asikwambie mutu! unarudishwa kwenu na kabegi kako unapita ivi..! na wengi walijinyonga kimya! kimya! kwa adha km hii! baadhi ya wakuu wa vyuo wakawa wanawapatia Nauli ya ndege kabisaa ufike haraka usije ukamfia mikononi!
na asikwambie mtu bana Disco La Udaktari linauma kuliko hata Simba anavo ng'ata! ukibisha Muulize Dr Ulimboka, hakufa yule si mnajua! ndo maana kuna watu humu wamechanganyikiwa!
Amini nakwambia kuna MDs, COs wana Disco huko! heee! na wana supp. ni wacha kabisa!! lkn wenye akili zao haoooo!! na hawanaga mdomo saaana km jamaa mmoja humu ndani,
na hii yote ajili ya hasira na machungu ya supplimentaries za kufa mtu! na bado madogo waka mchallenge wardin! maumivu yake ndo kama haya!! ni rahisi sana kuwajua hawa watu wa ivi! chuki, maumivu plus supplimentaries heee!! unadhani atasemaje kwani....
Taaluma ya tiba ivoivo! pia! ila kuna watu wanona Neno Daktari ni kuuubwa sana!! lina maana kuubwa!! wakt kuna mpaka kina professor J, professor maji Marefu nk.!lkn wala hatujamsikia muongo kulilia cheo chake, tatizo hawa failure hawa!
Kwanza COs hata hiyo MDs anaichukua faster tu bila interview, yeyote wala nzwii anya time na kule anateleza tu!
Ila sasa kwa sababu hawa COs wengi ni wadogo wadogo!! wasafi, wanachujwa sana! usafi pia ni somo serious! halafu wanaaminiwa na wagonjwa ni ile mbaya MD failure wanaona wivu wamekula suppliments za kutosha!! wana Poor nursing care!
Hata Ward presentations, zao kwa mtu wa kawaida tu unae jua kiinglish utaona aibu jinsi MDs wanavyo fwamba! km mie muongo jipitishe tu kimya kimya wodini Amana Hosp. pale, au teaching Hospital yeyote, yenye mchanganyiko wa hao! ushuhudie
Na siyo kwamba eti wkati wa Ward round wanawaweka kima kundi la hasha wooote wanakuwa pamoja, kila mtu na vitanda vyake kulingana na ukubwa wa Wodi, na idadi yao hao MDs, na COs! Wodi ikiwa kubwa Dr mmoja unaweza kuwa na vitanda hata kumi!
Kama mie Muongo pita pita wakati wa ward Round km paleee TMK, Amana umo! Lugalo Hosp.nk Mama weeee!! yaani utadhani wale madogo COs ndo ma MD, yaani wanashuka pres. paper km hawana akili nzuri,
halafu wako njema, fikiria tu intro. hawasomagi wale! akijua jina la mgonjwa, na sura tu! baaaasi!! anatiririka!utapenda.. hata ukiwakurupua huko Mabwenini kwao wakiwa na usingizi wanashuka Magonjwa tu faster tena kwa English Grammatical nzuri kabisa!
Kwa wagonjwa wao wale COs wako njema sana, ukifika kwenye vitanda vyao madogo wanatiririka tu! mpaka utapenda! na ukikuta Boss Dr wa zamu mvivu,..... wao hao COs ndo wanapewaga majukumu na vipaumbele kuliko hao MDs! ili wamalize haraka!
Siyo majungu hii hali ya Cos kuwa njema inawaumizaga MDs wengi sana! tena MDs vilaza wanakaaga nyuma nyuma ivi! utasikia Yes! yes!!! ...mmm!! nooo....mmmwhy!!!
lazima tufike mahali tukubali tu!! kuna MDs wengi hawakufaa kupata hizo nafasi, mpaka unajiuliza huyu kapitapitaje hapa kwa michujo mikali km hivi?! au mchawi huyu?! vile vile kuna COs wengi hawakustahili kuwa ma-CO bali walifaa kuwa MDs, huo ndo ukweli!!
ukiona mtu anasema hawa COs siyo Madaktari think twice about his capacity to analyse things! ujue alikuwa kilaza hasa! amekula supplimentaries za kutosha mpaka amezeekea chuoni mfano ni km Dr Kitange sasa ana maumivu!
Nasema hivi mniskie woote MDs na Ma-specialist wenzangu..... COs ni Daktari tu, hata ufanyeje! ....tunatambua /tunataka/tuna hitaji uwezo wao! Aluta cont...! chapeni kazi vijana mpaka MD wajambe kifukuto! na
ukiona wamewajadili mjue wamewakubali mbona hii ni hatua nzuri sana ya nyie kujitambua!! kusema kweli mnatusaidia sana tena sana nchini hasa wilayani !! sijakosea tena mno! mbona hawajadili AMOs? waki wa mind wajitundike tu!
Na Hospitali nyingi sana za private Tanzania humu zinamilikiwa na COs, ambao hao hao walijisomesha kwa hela zao na kuwa MDs, wakasajili Hospitali zao kwa vyeo vyao vipya!
mfano mzuri na wa wazi kabisa wa hao ma COs ni huyu jamaa, Dr Allan wa Tip top Dispensary palee Manzese, COG, ya kalakata pia! na wengine wengi tu! nawajua mie! sasa hawa siyo DRs tu tena ni super Drs! wapeni heshima Ma CO muishi bana ahaa!
hawa wano ng;ang;ania umiliki wa jina hata akili ya ujasilimia mali hawana! ni maskini wa kutupwa wategemea mshahara! tena wanaajiliwa na Ma-COs hao hao! ndo maboss wao! utamchukiaje Boss wako? km una akili nzuri! jipendekeze tu akupe ulaji