Kama hujui tofauti ya medicine na clinical,sidhani kama wewe unaweza kua sio CO
Jamani mie niliwhifanya kauchunguzi kasiko Rasmi sasa nasema ivi...
Acheni uchoyo wa kiafrica wa majina tu!! yanawatoa roho!! kwani Mwalimu wa chekechea na Mwalimu wa secondary! si wote walimu?? hawa jamaa MD wana kamtima nyongo! au kawivu flani hivi nina kaona hapo! kwa sababu
CO wanatusua sana makazini huko, halafu wanakubalika kishenzi nchi nzima mpaka vijijini huko!! popote! hata emergency za Ikulu ni CO wana piga kazi! tena vizuri mno! halafu vyuoni kwao CO wanachujwa mnoo hatare!! mnaweza anza 40 mkamaliza 15 tu! mpaka leo iko ivo!
hawa wapya wanao toka wako vizuri mno hata kwa kuwaangalia tu! ndo maana MD wana chuki sana!! hata CO wanaokwenda vyuo vikuu mbali mbali ni wazuri kupita maelezo!!! mpaka wanawafundishaga hawa madogo sasa wanachukiaga sana!
sometimes wao hao ma CO wakiwa chuo kikuu!! wao ni kuingia Drasani kufanya mitihani tu!! hawasomi kabisa! na ana faulu mbaya hawakamatwagi!! kifupi wako njema!! ukiona CO amekamtwa basi hao wengine ndo kabisaaa ni weupe!
MNH wanaogopa sana CO, AMO, kuwapa Admission sababu kubwa ni hii!! unamfundisha Daktari ambaye anakuzidi uzoefu/material au mko sawa au unamzidi kidogo!! Professors ni waoga sana kufundisha Haya makundi mawili!
Sasa basi kinacho fanyika ni nini? wanawasukumiza hawa jamaa vyuo vya private tu! kma KAMPALA, IMTU nk! labda uwe mtoto wa Kikwete utaachwa hapo MNH!
Hawama- CO na ma- MD ni sawa na watoto wa familia moja yaani Mtu na mdogo wake, wanaofuatana! hawaachi kuzodoana kila kukicha sababu mdogo anapiga bao sana, sababu ya majukumu yake aliyoachiwa sana, kuliko mkubwa!
Huyu mkubwa yeye amekaa tu anasubiria tu!! kupokea kazi kutoka kwa mdogo! mdogo yeye kwa sababu kazi anaziweza anapiga zote anamwambia wewe endelea kupumzika hkn shida!! lkn yeye anatamani apate kazi km za Mdogowe CO!
Kifupi mkubwa MD, ni mchoyo! na hata kutafuta nafasi ya kujiendeleza zaidi MD wana wabania sana CO wenye vipaji! wasiende kujiendeleza,...basi watakuundia majungu hayo mpaka utakaa chini!! labda tu uwe mtoto wa mkubwa utaenda!
Au uwe na connection hasa! MD wengi ni km wamekosa fursa hivi!!! lawama na visingizio ni kwa Ma COs! kwa nini wasifute tu hizo tofauti zao kirahisi!!! nina hakika ukifungua Hosp za CO, pekee na MD pekee!! wateja watajaa kwa Ma COs!
Ni wakati sasa serikali tubadilike! naitaka serikali ifanye km zimbabwe CO, apewe nafasi moja kwa moja aende ku- specialise! chochote atakachoona kina mfaa kichwani mwake!! kwa uwiano wa miaka sawa, kati ya MD na CO, ili kuballance hili gape!
Kwa mfano kile ambacho CO hakukifanya chuoni kwake akikamilishe kwenye Speciality yake! au Mitaala ya CO ibadilike iwe km ya MD hapo yabakie majina tu!!
Aaiwezekani CO asome miaka mitatu then aende kazini! halafu aende tena kusoma miaka mitano awe! sawa na MD fresh from school! hiyo ni serikali ya Majuha! haipo Duniani!! kwa akili kma hizi nasema hivi.....
Ndo maana wamezalisha haya madharau ya kijinga! walioanzisha huu utaratibu tunawajua ni kina Marehemu Aoron Chiduo,na jopo lake lilee la Madaktari manesi wa MNH, hawa walibebwa makundi kwa makundi kwenda kusoma Nje! ili kuziba pengo!
wakati wanarudi sasa walikuwa na chuki za wazi kwa ma- COs, walichofanya ni kuwakandamiza wajione Duni, sababu ya uhaba wa vyuo ulio kuwepo nchini! wakaondolewa pale MNH miaka hiyo!
si unaona utaratibu wenyewe huu! umekaa ki nurse!! nurse hivi, haueleweki kwa mtu mwenye akili nzuri! utauliza maswali kibao yasiyo kuwa na majibu!! sababu nihao Ma-MD- Nurses waliopewa ofa ya kusoma nje, Sarungi akiwa Mkurugenzi!!
taifa hilo tena hatunalo! hao wakurugenzi wa sasa wa TMB ni wazembe haswaaa! wachumia tumbo! relux, wameshindwa kuliona hili! pale wizarani wanashindana kununua Magari tu!! kula vihepe baasi!
kuna watu wangefanya haya mabadiliko na wakaleta impact kubwa ktk sector hii lkn wameishia kupigwa chini mbaya hata hatuwasikii tena, kina Dr Suka, Mpoki, Deo, Marwa Winani, Shemhiru, Gesase nk! kwa uchache!
Wizara ya Afya Tanganyika Medical Board halina Meno! ni kibogoyo! sirikali imejaza madude flani hivi ambayo hayana meno wala akili!! wakati wenye akili wapo tele !! kamata Mpoki kutoka ubalozini kule rudisha wizarani ya afya pale!
Yaani nchi hii ilinifaa mimi japo kidoogo na Magu, lkn huyu ningemfanya Waziri Daima, nakwambieni mtanyoooka! subirini tu si nakujaaaa! heee!!!