wewe huelewi na ni mjinga sababu tu ni CO.
Okay.
CO hajaqualify kutoa huduma za matibabu
Unaweza kuniambia kwa ufupi maana ya neno "matibabu" kutoka katika vyanzo vyovyote tegemewa ?
CO anafanya utabibu tu na hii ndio kikomo chake......
Utabibu ni jina,ni kama neno udaktari ama ualimu.
Utabibu ni jina kazi yake ni kutibu.
Ualimu ni jina na kazi yake kufundisha.
Ujenzi ni jina kazi yake ni kujenga.
Kwa hiyo unatakiwa ufahamu kauznia leo kwamba utabibu ni jina na kazi ya huo utabibu ni kutibu,hivyo kama CO anasomea utabibu maana yake amwshaqualify KUTIBU WATU.
CO hajaqualify kutoa huduma za matibabu
Unarudia makosa,utabibu na matibabu ni kitu kimoja.
Utabibu ni jina na kutibu ni kazi ya utabibu na matibabu ni huduma yenyewe inayotolewa na huyo tabibu.
CO anaweza fanya utabibu hata kwa mgonjwa wa malaria lakini hawezi kufanya Tiba.
Tiba na matibabu ni kitu kimoja kwa sababu neno tiba limetoka katika neno matibabu haiwezekani kuyatenganisha maneno hayo.
.CO hata majibu ya chemistry kwenye mtaala wake hajifunzi kutafsiri,CO hajasoma hata biochemistry.......anawezaje sasa kutoa Tiba?
Narudia kwwmba tiba na matibabu hakuna tofauti baina ya maneno hayo,kutoa tiba maana yake ni kutibu na kutibu ni kufanya matibabu.
.kuna sababu za dhati za wewe kua CO,ikiwemo uelewa na akili ndogo
Aaa haya mbona tumeshayazoea humu wala hayana tabu kwangu.
CO hajaqualify kutoa medical services(sayansi ya Tiba)
Nenda shule ili uqualify kutoa TIBA na si utabibu(clinical services)
Sayansi ya tiba na utabibu hakuna utofauti katika uhalisia wake,tunarudi kule kule kwamba tiba na matibabu ni kitu kimoja,hapo umeongeza neno sayansi.
Hata CO anatumia sayansi ya wataalamu kutibu wagonjwa wala hatumii uganga wa kienyeji kufanya matibabu,hakuna utofauti ndugu daktari.