Hujui nini unazungumza, mdogo wangu wa mwisho huko ndo CO na ni mwajiriwa tayari, akaacha kuendelea na shule akaenda kupiga kazi, Inaonekana una access ya kujua email au majina ya watu, nakumbuka umewahi kucomment kweny post yangu moja hivi kwa kunipa hongera ya kuajiriwa na Tamisemi na nimescreenshot ili niwatumie mods waseme umewezaje kujua email ninayoingia nayo humu, natumia email ya dogo kuingia humu na lengo ni kutojulikana maana najua kuna watu sio waaminifu km wewe, sio wote tunapenda kujisifu km wew. Niwekee namba yako dm tumeet face to face uanze kuheshimu watu, na ndo maana mnaitwa maGP. Hakuna specialist anayeweza kushinda mitandaoni kudharau watu, wakat asilimia zaidi ya 70 ya Watanzania wapo vijijini na wanatibiwa na hao CO na CA.