Sio kwa tafsiri hiyo mtu mwenye diploma ya pharmaceutical science anaitwa fundi sanifu dawa na sio mfamasia, kada ya ualimu na kada za afya ni tofauti mimi nakumbk tangu nikiwa chuo mwaka wa 1 Mds' waliokuwa wanatufundisha walituambiwa kada ya udaktari official mpk Bachelor na ndo maana Graduate wa Md anaanza na Dr, mfno Dr Fadhil Md,Mmed na Co ni Bwana Slatcher udaktari tunaitwa tu huku bush kwasababu ndo tulipo na sehemu zingine tukitibu na ndo maana ht kwenye Hospitali za wilaya kuna chumba cha Tabibu no 1, na chumba cha daktari No 1, hiyo sio Inferiority ila ni alarm kuwa ukitaka official kuitwa Dr mpk usome Bachelor ni tofauti na Mwalimu wa shule ya msingi, sekondari. Kuitwa Daktari haimaanisha ndo official name yko ila inategemea na mazingira ulipo mfano mimi ni Co ila natambua mimi sio Daktari ni tabibu na nafanya kazi Tamisemi na ht siku moja sijawahi jitambulisha naitwa Dr slatcher maana natambua sijafikia hiyo level. Mimi ni Mganga kiongozi wa Zahanati Bw. Slatcher japo kila siku ya Mungu naitwa Daktari na wanakijiji na nimeshafanya kazi Dar, Pwani, Mwanza, Morogoro, Geita naelewa whats next
Sent from my SM-T285 using
JamiiForums mobile app