Duuh jamaa utakuwa MD sio kwa comment hiyo aiseeNdugu usilazimishe mambo, clinical officer hajawahi kuwa daktari, ni sawa na kusema bruda ni padre...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh jamaa utakuwa MD sio kwa comment hiyo aiseeNdugu usilazimishe mambo, clinical officer hajawahi kuwa daktari, ni sawa na kusema bruda ni padre...
Namna hii mwl wa diploma sio mwl, nacheka sana navyopitia comments za madaktari wasomiMkuu watu wanaosema hivyo ni wajinga waliotunukiwa elimu.
Kama ambavyo kuna diploma ya pharmacy na ualimu basi ndivyo hivyo kwenye udaktari kuna diploma yake ambayo ndio hiyo clinical medicine
Hili jukwaa huru mtu yeyote anaruhusiwa kutoa elimu,kwa manufaa ya sisi wajinga.Duuh jamaa utakuwa MD sio kwa comment hiyo aisee
MD na MBSS si taaluma za hapa nchini,ni taaluma kongwe zenye miaka zaidi ya 1000,.........MD/MBSS ni kitu kimoja,kulingana na nchi ama chuo mfano U.S.A baadhi ya vyuo hutoa MBSS vingine MD ial wote husajiliwa kama licensing general practitioner,maana kozi zao zinafananaHiyo taaluma ya MBBS isingekuwepo hapa nchini kama ingekua n kitu kimoja
Hv unajielewa kweli?MD na MBSS si taaluma za hapa nchini,ni taaluma kongwe zenye miaka zaidi ya 1000,.........MD/MBSS ni kitu kimoja,kulingana na nchi ama chuo mfano U.S.A baadhi ya vyuo hutoa MBSS vingine MD ial wote husajiliwa kama licensing general practitioner,maana kozi zao zinafanana
Kwamba AMO akamfundishe CO? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bwana mdogo uelewa wako ni mfinyu sana,lecturer gani au professor gani apoteze muda wake kufundisha CO , CO wanafundishwa na MD Tanzania nzima.
Kama hujui vitu uliza tukueleweshe usiongee ujinga hapa. na kwa taarifa yako kuna vyuo CO wanafundishwa na AMO [emoji1787][emoji1787][emoji1787] , nchi ngumu sana hii.
Ile screenshot uliiona au nirudie tena? Manake ukipigwa kwenzi la utosi ina assume kama huon kabisaHili jukwaa huru mtu yeyote anaruhusiwa kutoa elimu,kwa manufaa ya sisi wajinga.
Watu wanapaswa waelewe tofauti ya tabibu na datktari.
1.Tabibu/clinician=CA,CO,AMO,MD
2.Daktari/Doctor=MD,PhD
You are fucked up again my friend.......[emoji16][emoji38][emoji205][emoji205],ukienda MSD,NIMR,OSHA etc.......mashirika ya kimataifa kama MDH,W.H.O,etc utawaona MD kibao wanafanya kazi huko tofauti na hizo unzogoogle hapo[emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]............any way CO sio daktari..........Tutafute mtu wa tatu asaidie
Majukum hayo hata CO anafanya
Kimsingi kwenye utendaji hakuna tofaut , utofaut uliopo ni kwenye elimu ,mmoja anaelimu zaid ya mwenzie
Lkn elimu hiyo inabak kua ni general haina u specialist wowote , ndio maana wote n watu wa kaunta View attachment 1988281
Kwenye MD,psychiatrist ni rotation hio sio topic hio ni complete packaje watu wanamenyeka..........MD anapiga emergency medicine,occuapational medicine,family medicine etc......ambazo C.O anazisikia tu.......MD anafanya research toka MD 02[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38].........ushawaji jiuliza kwa nini serikali inalipa mshahara wa MD mara mbili ya mshahara wa CO jumlisha Mshahara wa C.A?,[emoji38][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]Mkuu itakua umesoma zaman sana
Psychiatric CO wanasoma , again big difference kati ya CO na MD ipo kwenye "wanasoma kwa kiwango gani" hii hata nursing wanasoma , tunajua MD anasoma kiundani zaid, hata nurses wanasoma deep sana hii
Kama uko over 25 yrs of age alafu hii ndio thinking yako una shida mahaliYou are fucked up again my friend.......[emoji16][emoji38][emoji205][emoji205],ukienda MSD,NIMR,OSHA etc.......mashirika ya kimataifa kama MDH,W.H.O,etc utawaona MD kibao wanafanya kazi huko tofauti na hizo unzogoogle hapo[emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]............any way CO sio daktari..........
[emoji16][emoji38]........you are fucked up again my sister.......ukienda MOI/JKCI wapo MD kibao vitengo tofauti .....MD ni kiraka ndio maana inaitwa doctor of medicineUtofaut wa Kielimu mbona tushakubaliana huko juu zamani tu
Ila wote n watu wa kaunta
Daktari ni MD/PhD......hakuna diploma ya MD wala PhD hadi leo......endelea kucheka tu mjinga usiependa kusomaNamna hii mwl wa diploma sio mwl, nacheka sana navyopitia comments za madaktari wasomi
MD hata afanye kazi dispensary hawezi kua sawa na CO.Kama uko over 25 yrs of age alafu hii ndio thinking yako una shida mahali
Every MD that I Know , wanafikiria kua na vituo vyao vya afya, here comes someone ana ndoto za ajira
Hio screenshot inamfanya CO aitwe daktari sawa na mtu mwenye MD au PhD?Ile screenshot uliiona au nirudie tena? Manake ukipigwa kwenzi la utosi ina assume kama huon kabisa
You are fucked up,more and more my sister.............walimu wa CO ni MD na AMO......specialist....... aache mambo yake aanze kudeal na vichwa maji CO kama wewe[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji16][emoji38][emoji38]Nakuambia sababu nimepita huko
Hakuna AMO mwenye uwezo wa kumfundisha CEO , Hata MD n mmoja mmoja sana
Kwanza I think Nina module ya Anatomy.. ngoja nikupipigie picha uone walio iandaa, nikifika tu home, i think ipo
MD hawezi fanya kitu sawa na CO?.........MD ni daktari,CO ni tabibu tu......[emoji38][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205]Hizi zote CO wanasoma pia, na sio kwamba CO anakua shallow, sio lugha sahihi, ni MD anakua little bit deeper , hilo hatukatai ila kwenye kazi wanafanya kitu kimoja
Tamisemi Co -680,000/=, Md 1,480,000/= tofauti laki 8Wengi wanaochangia kusupport huu ujinga either ni wajinga ama watoto sana.........serikalini hata mshahara wa CO uzidishe mara mbili bado,atakua anadaiwa zaidi ya laki 3 na MD[emoji16][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205].......na hii ni kwasababu CO sio daktari
Sasa unachoshangaa ni nini?! AMO anafundisha CO sema siku hizi AMO wamekuwa wachache sana sio kama zamani.Kwamba AMO akamfundishe CO? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katika watu walio andika ujinga JF leo , unashika namba moja
Yani assistant medical officer awe bora kuliko Clinical officer kias cha kumfundisha.. alooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaah ni kweli,laki nane ni ndogo sana aisee[emoji38][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205]..........kwa miasha ya kitanzaniaTamisemi Co -680,000/=, Md 1,480,000/= tofauti laki 8
We umeiweka vizuri sana, ambacho najaribu kukielezea.MD na CO hawakaribiani hata kidogo. Muulize CO aliyesoma MD atakwambia.
Ma CO wengi hawajui msingi mzima wa elimu ya Afya. Ni kama watu wa kubahatishabahatisha ambao baada ya muda wanakuwa vizuri kutokana na uzoefu. Kuna mambo wanafanya na mtu anapona lakini msingi mzima wa elimu ya Afya hawana. Hekaya nyingi za kiafya nchi hii zimezalishwa na ma CO.