Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Naona mwenyewe umekuja, basi sio minor [emoji23][emoji23][emoji23]Minor surgery? Acha dharau wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mwenyewe umekuja, basi sio minor [emoji23][emoji23][emoji23]Minor surgery? Acha dharau wewe
Kwani kua specialist ni kufanya procedure nyingi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]...........what about psychiatrist,pediatrician,community medicine..............the same as MD kua daktari na CO kua tabibu sio suala la kutibu .......MD ni fani kongwe na ina mizizi yake,..........MD anafanya procesure nyingi kubwa kuliko C.O (ila sio kuliko specialist) mfano MD anafanya caesarean section CO hafanyi.
Tabibu ni. chiropractor , ni specialist huyo , iko juu ya MDTofauti ya kwanza..........MD ni daktari,CO ni tabibu
MD anafanya kazi tofauti tofauti na nyingi zaidi ya CO........purpose ya kuanzishwa MD si kushindana na COUmegonga point mkuu
MD kwa elimu wako nondo zaid ila kwa utendaji kazi ni kitu kimoja
Udaktari hauna Diploma.......wewe kutokuja haina maana kua ni sahihi.Mkuu sote humu tunakubali humu kwamba MD lazima kuna mambo ya ziada anayajua kuliko C0.
Lakini katika dhima lao ni moja,wote watafanya kumsikiliza mgonjwa,watafanya diagnosis na watakuandikia dawa utaenda pharmacy kuchukua.
MD na CO katika hospitali hizo ni katika kazi zao huwezi kuwatofautisha katika yale wanayoyafanya pamoja.
Udaktari una diploma na degree,kama zilivyo kozi zingine za ualimu n.k
Huwezi kuniambia mwalimu wa diploma anayefundisha tusimuite mwalimu eti kwa kuwa bado ana diploma wakati anafanya kazi ile ile ya kuwafundisha wanafunzi.
Hhivyo mwalimu wa diploma na wa degree wanaofundisha shuleni wote wapo katika dhima moja ya kufundisha wanafunzi.
Watatofautiana maarifa tu lakini wadhifa wao ni mmoja katika jamii.
Daktari hasomi ili ajilinganishe na fani ingine anasoma kwa matakwa yake binafsi......MD anaweza asiwe na hela lakini anaweza kua na pesa pia kama mtu anayeponda MD wakati alishindwa kusoma hio akaishia fani nyingine kujifariji,na akatoboa ama akaferi pia.Siwezi soma ujinga kama huo mimi mkuu. Niambie daktari gani mwenye hela hapa Tanzania.
Mimi labda nisome uchumi, siasa, uhasibu au sheria au teknolojia za computer huko. Wasomi waliosomea hizi ndio watu wenye hela Tanzania.
Hivi nikiwa daktari nitaiba mashuka ya wagonjwa au vibox vya panadol. Mwenzako anakua meneja wa shirika la ndege, shirika lina hold billions of moneys mwenzangu namimi unahold thousands of patients. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Wanaosomea hizo issue za UCO na Udaktari ni wale wenye njaa ili wapate kazi haraka wapunguze ukali wa maisha wenye akili zao wanapiga political science huko ndio wanaongoza nchi.
Ni MD wengi sana wameajiria mara elfu yawafanyakazi wa Bandarini........hata Bandarini,jeshini,B.O.T ,internation agencies MD wapo ......hio haifuti hoja kua CO sio daktari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenzako wanapoteza billions of money bandarini huko, mwingine Anapoteza vibox vya panadol hahahaaa. Wenzako wanachomoa noti kwenye shirika wanajenga maghorofa Masaki mwenzangu unachomoa vibox vya dawa unafungua kifamasi mtaani. Wenzako vikoti vyeupe tumevaa sana Maabara za physics tukiwa sekondari huko.
Doctor of medicine is among the high paying job in America and Tanzania.Ukweli mchungu...daktari ni pesa ya kula na kuvaa.
MD,MBSS ni kitu kimoja kulingana na nchi na chuo............all are medical doctor........kuna haja ya kusoma sana kabla ya kuonesha ukilaza hapa jukwaani[emoji38][emoji38][emoji16]MD hafanyi upasuaj, anaefanya ni hawa wa MBBS
Watu wanaweza kufanya kazi ile ile kwa matokeo tofauti na hii ndio maana ya kua CO sio daktari[emoji16][emoji16][emoji38]Huo utofauti ni kwa sababu ya level ya elimu.
Lakini kazi yao ni moja tu wote
Hiyo taaluma ya MBBS isingekuwepo hapa nchini kama ingekua n kitu kimojaMD,MBSS ni kitu kimoja kulingana na nchi na chuo............all are medical doctor........kuna haja ya kusoma sana kabla ya kuonesha ukilaza hapa jukwaani[emoji38][emoji38][emoji16]
MD anaweza kua wa kawaida sana ila hio haimfanyi CO awe daktari[emoji38][emoji16]Hata MD ni wa kawaida mno.
Wengi wanaochangia kusupport huu ujinga either ni wajinga ama watoto sana.........serikalini hata mshahara wa CO uzidishe mara mbili bado,atakua anadaiwa zaidi ya laki 3 na MD[emoji16][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205].......na hii ni kwasababu CO sio daktariNa mshahara ni mmoja etii???[emoji23]
Wajinga wengi humu wanaobisha hawajui wakifanyacho.........[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji205][emoji205]Bro,unajua ulichokiandika ama ilimradi tu?! Unaweza nipa tofauti ya MD na MBBS?!
Wengi ni vilaza hawaelewi kitu[emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu, nina uhakika kwa asilimia 90, watakao elewa hiyo ni wachache.
Sasa hizi ni pumbaWengi wanaochangia kusupport huu ujinga either ni wajinga ama watoto sana.........serikalini hata mshahara wa CO uzidishe mara mbili bado,atakua anadaiwa zaidi ya laki 3 na MD[emoji16][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205].......na hii ni kwasababu CO sio daktari
MD hawezi kumchukia CO .....ila CO kujifananisha na MD ndio anaanzisha chuki[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16]Vita ya MD na CO haitokuja kuisha mpaka kiama....yaaaani MD munawachukia saaana CO
Na ndio maana vyuo vya serikali huko munawatesa sana chuki zenu zinafanya munawapa marks za chuki chuki hususan clinicals.....not fair
Watu hawewezi kua na elimu sawa sababu wanafanya kazi sawa elewa hili[emoji16][emoji38][emoji38]............MD akitaka kumtibu mtu wa malaria na CO akitaka kumtibu mtu wa malaria kutokea kumchukua history mpaka kumfanyia diagnosis na kumuandikia dawa kuna tofauti yeyote ?
[emoji23][emoji23] we jamaa nimecheka sana, eti kazi yake kuua watu.Shida ni digrii miaka mi5 ndio kinawatesa watu..na kujiona superior..wakati kazi ni zile zile..utadhani co kazi yake ni kuua watu.
#MaendeleoHayanaChama
MD hawi MD sababu anatibu malaria ni sababu amequalify kuitwa MD[emoji16][emoji38][emoji38][emoji205][emoji205]MD na CO wanatibu malaria tofauti au ni ile ile?