Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Kimsingi kuna makosa , CO hatakiwi soma miaka mitano anapotaka chukua degree, miaka miwil mitatu nyuma ilikuwepo hoja kwamba mtu kama amepitia CO basi wakat anaenda MD asome miaka mitatu na kama itakua ngumu basi waendelee na level zao hizo hizo za NTA levelsMedicine doctor tunasoma miaka mitano kuna baadhi ya vitu CO anakuwa hafahamu mpaka na yeye akasome miaka mingine mitano... Vitu vingi sio vichache... Ingawa experience ya kazi huwa inawabeba ma co wengi hupata experience ya kazi.. Unafahamu kwamba baadhi ya manesi wakongwe wanaweza kufanya oparesheni kabsa ambayo kijana mbichi wa Md hajaizoea.... Kozi za afya ni kutegemeana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Upande wa Nurses nakubaliana nawe, nimeliona wakati niko clinical rotations, wanapiga kazi na wana uwezo mkubwa sana , alafu unakuta ana diploma tu ,sijui kwann wanalipwa mishahara midogo , wanapiga kazi sana hawa watu kuliko doctors