trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
bwana mdogo uelewa wako ni mfinyu sana,lecturer gani au professor gani apoteze muda wake kufundisha CO , CO wanafundishwa na MD Tanzania nzima.Ukipitia conversation yote kwenye uzi huwez kuona lugha mbaya kwa mtu tofaut na ww, wajua n kwann? Wote walioshiriki hapa it's either ni MD , Specialist au CO's .. ndio maana huon hata hoja zikipingana sana , sehem wanaafikiana sehem hatuafikian
Sasa ww sio mmoja wetu , ndio maana badala ya kuweka hoja mezani unaweka kichwa kilicho kitupu , mada yangu nawe imeishia hapa
Kama hujui vitu uliza tukueleweshe usiongee ujinga hapa. na kwa taarifa yako kuna vyuo CO wanafundishwa na AMO [emoji1787][emoji1787][emoji1787] , nchi ngumu sana hii.