Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea ukweli mtupuVita ya MD na CO haitokuja kuisha mpaka kiama....yaaaani MD munawachukia saaana CO
Na ndio maana vyuo vya serikali huko munawatesa sana chuki zenu zinafanya munawapa marks za chuki chuki hususan clinicals.....not fair
kijana uelewa wako ni mdogo sana kaa kimya tuMD hafanyi upasuaj, anaefanya ni hawa wa MBBS
Maarifa yanafanana au hayafanani?Mwalimu wa shule ya msingi wa diploma ana dhima sawa(kufundisha)na mwalimu wa shule ya sekondari mwenye degree ana dhima ile ile ya kufundisha wanafunzi japokuwa maarifa yametofautiana.
Unakubali unakataa ?
Kwani mwimu wa chuo kikuu na mwalimu wa shule ya msingi si wanatambika kama wpte ni waalimu japokuwa level zao za elimu tofauti ?
Wivu tu..si anatibu na dakitari anatibu sasa tofauti ni nini..?
#MaendeleoHayanaChama
MD akitaka kumtibu mtu wa malaria na CO akitaka kumtibu mtu wa malaria kutokea kumchukua history mpaka kumfanyia diagnosis na kumuandikia dawa kuna tofauti yeyote ?Maarifa yanafanana au hayafanani?
Kama maarifa hayafanani, mjadala na ufungwe
Uhandisi una level zake kama udaktari tu ...MIMI NILIONA KWENYE AJIRA PORTAL C.O WANAITWA MATABIBUNi sawa mtu wa diploma ya uhandisi ajiite engineer! Ni kitu ambacho hakiwezekani!
Kama una hamu ya kuitwa MD kwanza acha wizi wa pepa then rudi chuoni ukagongwe mvua 6 chuoni!
Ukimaliza hapo ndio utajua kwanini CO hawezi kuwa MD.
Unajua steps unazopitia mpaka kufikia DX ya malaria, au unafikiri unamuona mgonjwa then unataka kumtibu malaria straight, kwanini sio typhoid, relapsing fever, septicemia, dengue and so so....hiyo reasoning/clinical skills inayopelekea mpaka kupata differential diagnosis to diagnosis, ndiyo tofauti ya MD na CO, otherwise kama issue ni kuandika dawa ya malaria basi hakuna tofauti kati ya physician/internal medicine specialist na clinical assistant(certificate), maana wote wanandika dawa sawa za malaria, tena utakuta ACO/CO/AMO wakaandika artesunate au artemether injection ila specialist akaandika ALU tabs, afu utasema specialist yuko shallow au sawa na hao paramedics kumbe ni kama marekani na makambako.MD akitaka kumtibu mtu wa malaria na CO akitaka kumtibu mtu wa malaria kutokea kumchukua history mpaka kumfanyia diagnosis na kumuandikia dawa kuna tofauti yeyote ?
MD na CO wanatibu malaria tofauti au ni ile ile?Hayo mambo yako wapi wewe? Daktari amuonee wivu Pharmacist? Pharmacist yupi huyo anagombana na daktari? Kwanza utayafahamiana wapi hayo wakati ulipo huoni interaction ya daktari na pharmacist.
Shida ni nyie ambao mliingia kwenye afya mkidhani mtafanana na wenzenu waliosoma masomo ya juu. Mnajitutumua kwa vitu msivyovijua. Ushauri wa bure mkasomee udaktari. Msijitie moyo kwamba ninyi ni madaktari. Shauri yako.
Wivu tu..si anatibu na dakitari anatibu sasa tofauti ni nini..?
#MaendeleoHayanaChama
MD ni CO aliyechangamka..full stop..zingine ni mbwembwe zisizo natija wala faida kwa wagonjwa zaidi ya kuwatibu.Tanzania
In Tanzania, MD is the first awarded degree and takes 5 years of medical school, plus a sixth-year internship, students are awarded the degree of Doctor of Medicine (MD). The popular medical school in country includes Muhimbili University of health and allied sciences (MUHAS), The University of Dodoma- School of Medicine and Dentistry (UDOM) and Catholic University of health and allied sciences (CUHAS)
After undergraduate studies the students then pursue residency or termed as Master of Medicine for 3 or 4 or 5 depending on the speciality they are interested after that the students is awarded Master of Medicine degree which they can further go on to do Superspecialities for 2 more years and after that do fellowship
MD ni CO aliyechangamka..full stop..zingine ni mbwembwe zisizo natija wala faida kwa wagonjwa zaidi ya kuwatibu.
#MaendeleoHayanaChama
Ngoja turahisishe hivi.Unajua steps unazopitia mpaka kufikia DX ya malaria, au unafikiri unamuona mgonjwa then unataka kumtibu malaria straight, kwanini sio typhoid, relapsing fever, septicemia, dengue and so so....hiyo reasoning/clinical skills inayopelekea mpaka kupata differential diagnosis to diagnosis, ndiyo tofauti ya MD na CO, otherwise kama issue ni kuandika dawa ya malaria basi hakuna tofauti kati ya physician/internal medicine specialist na clinical assistant(certificate), maana wote wanandika dawa sawa za malaria, tena utakuta ACO/CO/AMO wakaandika artesunate au artemether injection ila specialist akaandika ALU tabs, afu utasema specialist yuko shallow au sawa na hao paramedics kumbe ni kama marekani na makambako.
MD ni CO aliyechangamka..full stop..zingine ni mbwembwe zisizo natija wala faida kwa wagonjwa zaidi ya kuwatibu.
#MaendeleoHayanaChama
Kwani lengo ni hizo steps ama lengo ni kutibu hiyo typhoid ?Unajua steps unazopitia mpaka kufikia DX ya malaria, au unafikiri unamuona mgonjwa then unataka kumtibu malaria straight, kwanini sio typhoid, relapsing fever, septicemia, dengue and so so....hiyo reasoning/clinical skills inayopelekea mpaka kupata differential diagnosis to diagnosis, ndiyo tofauti ya MD na CO, otherwise kama issue ni kuandika dawa ya malaria basi hakuna tofauti kati ya physician/internal medicine specialist na clinical assistant(certificate), maana wote wanandika dawa sawa za malaria, tena utakuta ACO/CO/AMO wakaandika artesunate au artemether injection ila specialist akaandika ALU tabs, afu utasema specialist yuko shallow au sawa na hao paramedics kumbe ni kama marekani na makambako.
Kuna mambo mengi sana CO anayasoma akiyazingatia haswaa na akajiongeza na akawa anawaza nje ya box na kujiuloza kwa nini hiki kinakuwa hivi na kisiwe vile,akiwa na akili hii basi anakuwa yuko njema saaana katika utabibu wake na wagonjwa watampenda sana na kuelekezana waende kwake pale wanapoumwa.Wakati mwengine tena CO’s akiwa sereous na shule huyo MD akasome tena