safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Tena C.O akiwa mjanja mjanja wa kujisomea na kukuza ufahamu na akawa ni mtu anayeelewa sana concept katika masomo anayosoma na akawa anajifunza vitu vipya basi anaweza kuwa vizuri sana akadiagnose magonjwa ambayo hata mtu wa MD atashindwa.Hakuna Tofaut yeyote kati ya MD na CO kwenye kufanya kazi
Wote ni watu wa kaunta , anachofanya CO kwenye zahanat au kituo cha afya n hicho hicho anafanya MD hospital au kituo cha afya, kazi zao ni general
Diagnosis ya Malaria atakayo kufanyia MD n hiyo hiyo anayokufanyia CO , na Jambo ambalo litashindikana kwa CO n nadra sana MD kua na ujanja nalo , yanapilitiza moja kwa moja kwa wenye uwezo wao
BTW nakubali kwamba MD unasoma mambo mengi kuliko CM hiyo ipo wazi.